Loading...

MELI YENYE HOSPITALI YATIANANGA BANDARI YA DAR ES SALAAM,KUTOAHUDUMA YA MATIBABU SIKU TANO , MAKONDA AISISTIA WANANCHI WENYE MAGONJWA SUGU KUJITOKEZA. KUPIMA NA KUTIBIWA.

Loading...
MELI YENYE HOSPITALI YATIANANGA BANDARI YA DAR ES SALAAM,KUTOAHUDUMA YA MATIBABU SIKU TANO , MAKONDA AISISTIA WANANCHI WENYE MAGONJWA SUGU KUJITOKEZA. KUPIMA NA KUTIBIWA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MELI YENYE HOSPITALI YATIANANGA BANDARI YA DAR ES SALAAM,KUTOAHUDUMA YA MATIBABU SIKU TANO , MAKONDA AISISTIA WANANCHI WENYE MAGONJWA SUGU KUJITOKEZA. KUPIMA NA KUTIBIWA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MELI YENYE HOSPITALI YATIANANGA BANDARI YA DAR ES SALAAM,KUTOAHUDUMA YA MATIBABU SIKU TANO , MAKONDA AISISTIA WANANCHI WENYE MAGONJWA SUGU KUJITOKEZA. KUPIMA NA KUTIBIWA.
link : MELI YENYE HOSPITALI YATIANANGA BANDARI YA DAR ES SALAAM,KUTOAHUDUMA YA MATIBABU SIKU TANO , MAKONDA AISISTIA WANANCHI WENYE MAGONJWA SUGU KUJITOKEZA. KUPIMA NA KUTIBIWA.

soma pia


MELI YENYE HOSPITALI YATIANANGA BANDARI YA DAR ES SALAAM,KUTOAHUDUMA YA MATIBABU SIKU TANO , MAKONDA AISISTIA WANANCHI WENYE MAGONJWA SUGU KUJITOKEZA. KUPIMA NA KUTIBIWA.

Mwambawahabari


Mkuu Wa Mkoa Wa Dar Es Salaam Paul Makonda Ameipokea Meli Kubwa Toka China Iliyofika Kwa Ajil Ya Kuanza Zoezi La Utoaji Wa Huduma Ya Vipimo Vya Afya Pamoja Na Matibabu Ambayo Yatatolewa Bure Kabisa Kwa Muda Wa Siku Tano!

Ambapo Rc makonda ametoa wito kwa wakazi wote wanaoishi Dar es salaam kuanza kujitokeza kwa wingi kuanzia siku ya kesho ili waweze kupewa huduma ya vipimo pamoja na matibabu bure hasa kwa wale wenye matatizo mbalimbali.

Aidha ameongeza kuwa anaushukuru ubalozi wa china hasa kwa kitendo cha wao kuruhusu meli hiyo itoe huduma katika nchi ya Tanzania hususan Dar es salaam kwan hiyo inaonyesha kuwa nchi ya china inaunga mkono hasa katika jitihada za Rais Maguful Za Kumtetea Mtanzania Wa Kipato Cha Chini Na Kuhakikisha Kuwa Wanapata Huduma Zote Muhimu.

Meli hiyo ambayo imepokelewa siku ya leo imekuja na madaktar pamoja na wahudumu wapatao zaid ya 381,huku madaktari 30 kati yao siku ya leo tayar wamekwisha fanya ziara ya kuitembelea hospital ya Muhimbili,Amana,Mwananyamala Pamoja Na Hospital Ya Temeke Kwa Ajil Ya Kukagua Vifaa Ambayo Vitakuwa Vimepoteza Umakini Wake Wa Kutoa Huduma Na Kabla Ya Kuondoka Watakabidhi Msaada Wa Vifaa Mbali Mbali Kwa Ajil Ya Hospital Hizo Amesema Rc Makonda.














Hivyo makala MELI YENYE HOSPITALI YATIANANGA BANDARI YA DAR ES SALAAM,KUTOAHUDUMA YA MATIBABU SIKU TANO , MAKONDA AISISTIA WANANCHI WENYE MAGONJWA SUGU KUJITOKEZA. KUPIMA NA KUTIBIWA.

yaani makala yote MELI YENYE HOSPITALI YATIANANGA BANDARI YA DAR ES SALAAM,KUTOAHUDUMA YA MATIBABU SIKU TANO , MAKONDA AISISTIA WANANCHI WENYE MAGONJWA SUGU KUJITOKEZA. KUPIMA NA KUTIBIWA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MELI YENYE HOSPITALI YATIANANGA BANDARI YA DAR ES SALAAM,KUTOAHUDUMA YA MATIBABU SIKU TANO , MAKONDA AISISTIA WANANCHI WENYE MAGONJWA SUGU KUJITOKEZA. KUPIMA NA KUTIBIWA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/meli-yenye-hospitali-yatiananga-bandari.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MELI YENYE HOSPITALI YATIANANGA BANDARI YA DAR ES SALAAM,KUTOAHUDUMA YA MATIBABU SIKU TANO , MAKONDA AISISTIA WANANCHI WENYE MAGONJWA SUGU KUJITOKEZA. KUPIMA NA KUTIBIWA."

Post a Comment

Loading...