Loading...

MHANDISI MTIGUMWE ATANGAZA KIAMA KWA MAAFISA UGANI NCHINI

Loading...
MHANDISI MTIGUMWE ATANGAZA KIAMA KWA MAAFISA UGANI NCHINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MHANDISI MTIGUMWE ATANGAZA KIAMA KWA MAAFISA UGANI NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MHANDISI MTIGUMWE ATANGAZA KIAMA KWA MAAFISA UGANI NCHINI
link : MHANDISI MTIGUMWE ATANGAZA KIAMA KWA MAAFISA UGANI NCHINI

soma pia


MHANDISI MTIGUMWE ATANGAZA KIAMA KWA MAAFISA UGANI NCHINI

Na Mathias Canal, Arusha

Serikali imekuwa ikiongeza idadi ya wanafunzi katika Vyuo vya Kilimo na kwa sababu hiyo Maafisa Ugani wamekuwa wakiongezeka kila mwaka ambapo hali hiyo imewezesha Karibu kila Kata hapa nchini kuwa na Afisa Ugani.

Lakini pamoja na kuwepo kwa wataalamu hao wa kilimo bado uzalishaji wa mazao mbalimbali nchini yakiwemo mazao ya chakula na biashara si wa kuridhisha ambapo wakulima wanalima na kupanda pasina hata kufuata hatua za kitaalamu.

Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo nchini Mhandisi Methew John Mtigumwe wakati wa kikao cha kazi akizungumza na wakufunzi wa Chuo cha Mafunzo ya Mboga Matunda na Maua (HORTI TENGERU) kilichopo katika Kijiji cha Tengeru, Kata Patandi, Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha.

Alisema lengo la Serikali kusambaza  Maafisa Ugani kwenye Halmashauri mbali mbali nchini ilikuwa  kuwasaidia  wakulima  waweze kufanya Kilimo kwa Ufanisi na kuongeza mavuno.

Hata hivyo jambo hilo limekuwa kinyume kwani asilimia kubwa ya maafisa ugani ama hawafanyi kazi zao ipasavyo ama wameshindwa kusimamia majukumu yao ipasavyo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo nchini Mhandisi Methew John Mtigumwe akizungumza wakati wa kikao cha kazi na watumishi wa Taasisi ya Horti Tengeru na wakufunzi wa Chuo cha Mafunzo ya Mboga Matunda na Maua (Horti Tengeru).
Baadhi ya watumishi wa Taasisi ya Horti Tengeru na wakufunzi wa Chuo cha Mafunzo ya Mboga Matunda na Maua (Horti Tengeru) wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo nchini Mhandisi Methew John Mtigumwe wakati wa kikao cha kazi
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo nchini Mhandisi Methew John Mtigumwe akiwasili katika Ofisi za Taasisi ya Horti Tengeru na Chuo cha Mafunzo ya Mboga Matunda na Maua (Horti Tengeru). Mwingine ni
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utafiti Dkt Mansoor Hussein



Hivyo makala MHANDISI MTIGUMWE ATANGAZA KIAMA KWA MAAFISA UGANI NCHINI

yaani makala yote MHANDISI MTIGUMWE ATANGAZA KIAMA KWA MAAFISA UGANI NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MHANDISI MTIGUMWE ATANGAZA KIAMA KWA MAAFISA UGANI NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/mhandisi-mtigumwe-atangaza-kiama-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MHANDISI MTIGUMWE ATANGAZA KIAMA KWA MAAFISA UGANI NCHINI"

Post a Comment

Loading...