Loading...
title : MICHUZI TV: MPANGO WA MATIBABU BURE KUWAFIKIA WAZEE WA HANDENI
link : MICHUZI TV: MPANGO WA MATIBABU BURE KUWAFIKIA WAZEE WA HANDENI
MICHUZI TV: MPANGO WA MATIBABU BURE KUWAFIKIA WAZEE WA HANDENI
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe amewahamasisha wazee kuanzia
umri wa miaka 60 na kuendelea kujitokeza kwenye zoezi la upigwaji picha
ili waweze kupatiwa kadi za bima ya afya zitakazowawezesha kupatiwa
matibabu bure kwenye zahanati, vituo vya afya na hospitali.
Hayo ameyazungumza mara baada kuwasili katika Ofisi za Mtendaji Kata ya
Kabuku Nov 23, 2017 kuhamasisha huduma za afya.
Hatua hiyo ni muendelezo wa agizo la serikali ya awamu ya tano ya rais
Dkt. John Pombe Magufuli ya kuhakikisha wazee kuanzia umri wa miaka 60
na kuendelea wanapatiwa matibabu bure. PICHA ZOTE NA
KAJUNASON/MMG-KABUKU, HANDENI.
Wazee wakisikiliza kwa makini.
Diwani wa Kata ya Kabuku, Amina Mnegelo akizungumza machache mbele ya
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe huku wazee wakimfuatilia kwa
makini.
Hivyo makala MICHUZI TV: MPANGO WA MATIBABU BURE KUWAFIKIA WAZEE WA HANDENI
yaani makala yote MICHUZI TV: MPANGO WA MATIBABU BURE KUWAFIKIA WAZEE WA HANDENI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MICHUZI TV: MPANGO WA MATIBABU BURE KUWAFIKIA WAZEE WA HANDENI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/michuzi-tv-mpango-wa-matibabu-bure.html
0 Response to "MICHUZI TV: MPANGO WA MATIBABU BURE KUWAFIKIA WAZEE WA HANDENI"
Post a Comment