Loading...

Miundombinu : Hafla ya Utiwaji Ujenzi wa Barabara Yafanyika Zanzibar

Loading...
Miundombinu : Hafla ya Utiwaji Ujenzi wa Barabara Yafanyika Zanzibar - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Miundombinu : Hafla ya Utiwaji Ujenzi wa Barabara Yafanyika Zanzibar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Miundombinu : Hafla ya Utiwaji Ujenzi wa Barabara Yafanyika Zanzibar
link : Miundombinu : Hafla ya Utiwaji Ujenzi wa Barabara Yafanyika Zanzibar

soma pia


Miundombinu : Hafla ya Utiwaji Ujenzi wa Barabara Yafanyika Zanzibar



Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seuf Ali Idi akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Abdujumbe mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya Kushuhudia utiwaji wa saini ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Abdujumbe kulia akitoa taarifa kuhusiana na Uwekaji saini ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Balozi Ali Karume akitoa hotuba kuhusiana na Ujenzi wa Barabara katika hafla ya Uwekaji saini ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni, iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Abdujumbe kushoto akitiliana saini na Mkurugenzi Muendeshaji wa Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation(CCECC)Jiang Yigao kuhusiana na ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Abdujumbe kushoto akikabidhiana vitabu vya mikataba na Mkurugenzi Muendeshaji wa Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation(CCECC)Jiang Yigao Baada ya kutiliana saini kuhusiana na ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seuf Ali Idi akitoa hotuba katika hafla ya utiaji saini ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria katika hafla ya uwekaji saini ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni, iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seuf Ali Idi akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya uwekaji saini ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni, iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja. PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala Miundombinu : Hafla ya Utiwaji Ujenzi wa Barabara Yafanyika Zanzibar

yaani makala yote Miundombinu : Hafla ya Utiwaji Ujenzi wa Barabara Yafanyika Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Miundombinu : Hafla ya Utiwaji Ujenzi wa Barabara Yafanyika Zanzibar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/miundombinu-hafla-ya-utiwaji-ujenzi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Miundombinu : Hafla ya Utiwaji Ujenzi wa Barabara Yafanyika Zanzibar"

Post a Comment

Loading...