Loading...
title : Mkutano wa kamati Kuu ya CCM jijini Dar leo
link : Mkutano wa kamati Kuu ya CCM jijini Dar leo
Mkutano wa kamati Kuu ya CCM jijini Dar leo
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiwa kaongozana na Katibu Mkuu wa chama hicho Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar es salaam leo Jumatatu Novemba 20, 2017
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa kaongozana
na Katibu Mkuu wake Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini
Dar es salaam leo Jumatatu Novemba 20, 2017
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Abdulrahman Kinana akithibitisha kutimia kwa
akidi kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar es salaam kinachoongozwa na Mwenyekiti wa
chama hicho Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu Novemba 20, 2017
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akiweka sawa makabrasha kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar es salaam leo Jumatatu Novemba 20, 2017
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakiongea baada ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar es salaam leo Novemba 20, 2017
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakiongea baada ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar es salaam leo Novemba 20, 2017
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM na sekretarieti yake baada ya kikao jijini Dar es salaam leo Novemba 20, 2017
Picha na IKULU
Hivyo makala Mkutano wa kamati Kuu ya CCM jijini Dar leo
yaani makala yote Mkutano wa kamati Kuu ya CCM jijini Dar leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mkutano wa kamati Kuu ya CCM jijini Dar leo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/mkutano-wa-kamati-kuu-ya-ccm-jijini-dar.html
0 Response to "Mkutano wa kamati Kuu ya CCM jijini Dar leo"
Post a Comment