Loading...
title : MTANZANIA SUZANE MOLLEL ALIVYOIWAKILISHA EAC KATIKA TAMASHA LA VIJANA DUNIANI, NCHINI URUSI
link : MTANZANIA SUZANE MOLLEL ALIVYOIWAKILISHA EAC KATIKA TAMASHA LA VIJANA DUNIANI, NCHINI URUSI
MTANZANIA SUZANE MOLLEL ALIVYOIWAKILISHA EAC KATIKA TAMASHA LA VIJANA DUNIANI, NCHINI URUSI
Naibu balozi wa vijana wanaoiwakilisha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Suzane William Mollel (wa tatu kulia) akiwa pamoja na baadhi ya vijana wenzake walioshiriki katika Tamasha la Vijana la Dunia, lililoandaliwa na Rais wa Urusi, Vladimir Putin. Tamasha hilo lilifanyikakatika Mji wa Moscow kuanzia Oktoba 14 mpaka 22, 2017 na kuhudhuliwa na vijana kutoka mataifa mbalimbali Duniani
Naibu balozi wa vijana wanaoiwakilisha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Suzane William Mollel (wa tatu kushoto) akiwa pamoja na baadhi ya vijana wenzake walioshiriki katika Tamasha la Vijana la Dunia, lililoandaliwa na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, wakiwa wameshika bendera ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, walipotembelea moja ya maeneo ya Mji wa Moscow, nchini Urusi kulikofanyika Tamasha hilo.
Naibu balozi wa vijana wanaoiwakilisha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Suzane William Mollel (kushoto) akiwa pamoja na baadhi ya vijana wenzake walioshiriki katika Tamasha la Vijana la Dunia, lililoandaliwa na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, nchini humo kuanzia Oktoba 14 mpaka 22, 2017 wakiwa katika picha ya pamoja walipotembelea ofisi za Umoja wa Mataifa, nchini humo.

Hivyo makala MTANZANIA SUZANE MOLLEL ALIVYOIWAKILISHA EAC KATIKA TAMASHA LA VIJANA DUNIANI, NCHINI URUSI
yaani makala yote MTANZANIA SUZANE MOLLEL ALIVYOIWAKILISHA EAC KATIKA TAMASHA LA VIJANA DUNIANI, NCHINI URUSI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MTANZANIA SUZANE MOLLEL ALIVYOIWAKILISHA EAC KATIKA TAMASHA LA VIJANA DUNIANI, NCHINI URUSI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/mtanzania-suzane-mollel.html
0 Response to "MTANZANIA SUZANE MOLLEL ALIVYOIWAKILISHA EAC KATIKA TAMASHA LA VIJANA DUNIANI, NCHINI URUSI"
Post a Comment