Loading...

MUGABE SASA YAMFIKA ZANU-PF YAMFUTA UENYEKITI

Loading...
MUGABE SASA YAMFIKA ZANU-PF YAMFUTA UENYEKITI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MUGABE SASA YAMFIKA ZANU-PF YAMFUTA UENYEKITI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MUGABE SASA YAMFIKA ZANU-PF YAMFUTA UENYEKITI
link : MUGABE SASA YAMFIKA ZANU-PF YAMFUTA UENYEKITI

soma pia


MUGABE SASA YAMFIKA ZANU-PF YAMFUTA UENYEKITI

Mwambawahabari 

Chama tawala nchini Zimbabwe, ZANU-PF, kimemtimua Rais Robert Mugabe, kwenye uenyekiti wa chama na kumteua aliyekuwa Makamu wa Rais kabla ya kufutwa kazi na Mugabe, Emerson Mnangagwa kuongoza chama hicho.

Anatakiwa ajiuzulu mwenyewe urais au kung’olewa madarakani kwa lazima kwa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye na Bunge la nchi hiyo.

Vilevile chama tawala ZANU-PF kimemfutia uanachama mke wa Rais Mugabe, Grace Mugabe. Hatua hiyo inamnyang’anya moja kwa moja cheo cha uenyekiti wa Baraza la Wanawake la chama hicho.

Washiriki wa karibu wa Rais Robert Mugabe katika chama alichokianzisha wamemtaka kiongozi huyo kuondoka madarakani kufuatia shinikizo kubwa la maandamano linaloendelea nchini humo sanjari na jeshi kuingilia kati.

Katika kikao hicho kinachoendelea leo, Novemba 19, viongozi wa juu wa chama hicho wanalenga kuzungumza iwapo wamuondoe kiongozi huyo kwenye chama ama la huku umoja wa vijana wa chama hicho ambao walionesha kuwa watiifu kwa kiongozi huyo na mkewe muda wote nao wakimgeuka.


Hivyo makala MUGABE SASA YAMFIKA ZANU-PF YAMFUTA UENYEKITI

yaani makala yote MUGABE SASA YAMFIKA ZANU-PF YAMFUTA UENYEKITI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MUGABE SASA YAMFIKA ZANU-PF YAMFUTA UENYEKITI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/mugabe-sasa-yamfika-zanu-pf-yamfuta.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MUGABE SASA YAMFIKA ZANU-PF YAMFUTA UENYEKITI"

Post a Comment

Loading...