Loading...

MZEE ZAM AULA CECAFA

Loading...
MZEE ZAM AULA CECAFA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MZEE ZAM AULA CECAFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MZEE ZAM AULA CECAFA
link : MZEE ZAM AULA CECAFA

soma pia


MZEE ZAM AULA CECAFA

Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Makamo wa Rais wa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA Unguja) Mzee Zam Ali ameteuliwa kuwa mjumbe katika kamati itakayosimamia Mashindano ya Chalenj CUP yaliyoandaliwa na Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) Mashindano ambayo yanayotarajiwa kuanza rasmi Disemba 3-17, 2017 nchini Kenya.
CECAFA wamemteuwa Mzee Zam kwakuwa ni mzowefu katika Mashindano hayo ambapo ni Mzanzibar pekee kwenye kamati hiyo.
Wengine waliochaguliwa katika kamati hiyo ni Mutasim Gafar (Sudan), Abdigaan Arab Said (Somalia), Jacob Odundo (Kenya), Ashinafi Ejigu (Ethiopia), Aimable Habimana (Burundi), Rogers Byamukama (Uganda), Ajong Domasio Ajong (Sudan ya Kusini) na Ahmed Mgoyi (Tanzania Bara).
Wengine ni Sunday Kayuni (Tanzania Bara), Mossi Yussuf (Burundi), Celestine Ntangugira (Rwanda), Yigzaw Ambaw (Ethiopia), Bernard Mfubusa (Burundi), Maxim Itur (Kenya), Rogers Mulindwa (Uganda), Bonny Mugabe (Rwanda), Gishinga Njoroge (Kenya), Amir Hassan (Somalia) na Nicholas Musonye (Kenya).


Hivyo makala MZEE ZAM AULA CECAFA

yaani makala yote MZEE ZAM AULA CECAFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MZEE ZAM AULA CECAFA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/mzee-zam-aula-cecafa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MZEE ZAM AULA CECAFA"

Post a Comment

Loading...