Loading...

Naibu Waziri Ulega akutana na wananchi wa kijiji cha Sunguvuni

Loading...
Naibu Waziri Ulega akutana na wananchi wa kijiji cha Sunguvuni - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Naibu Waziri Ulega akutana na wananchi wa kijiji cha Sunguvuni, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Naibu Waziri Ulega akutana na wananchi wa kijiji cha Sunguvuni
link : Naibu Waziri Ulega akutana na wananchi wa kijiji cha Sunguvuni

soma pia


Naibu Waziri Ulega akutana na wananchi wa kijiji cha Sunguvuni


 Naibu wa Waziri na Uvuvi, Abdallah Ulega akipokea taarifa ya ujenzi wa Zahanati ya Sunguvuni mkoani Pwani.


Na Chalila Kibuda,Globu ya jamii.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega  amesema miundombinu ya barabara za vijiji ikijengwa itafanya vijiji kuinuka kiuchumi.

Ulega aliyasema hayo wakati alipokutana na wananchi wa kijiji cha Singuvuni kata Mkuranga  wilayani Mkuranga, kuwa taasisi ya barabara za vijijini na Mijini Tarura ni suluhisho kwa barabara za vijijini.

Amesema kuwa wananchi wa sunguvuni wanachangamoto ya barabara ambapo changamoto hiyo itatatuliwa na Tarura katika wilaya ya Mkuranga na hatimaye wananchi wataweza kuinuka kiuchumi kutokana na miundombinu hiyo.

Katika ziara hiyo ametoa mifuko 50 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa zahanati ya Sunguvuni pamoja na kuahidi mifuko 20 ya Saruji ili ujenzi huo uende kwa kasi

Aidha amesema kuwa wanachi Sunguvuni wafanye kazi kwa ajili ya kujiletea maendeleo kutokana na kuwa na ardhi yenye Rutuba.

Meneja wa Tarura wilaya ya Mkuranga,Peter Shirima amesema wameshatenga milioni 18 kwa ajili ya kushughulikia sehemu korofi na amesema barabara zote wameshazipitia na kilichobaki ni utekelezaji.
 Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo ,Abdallah Ulega akizungumza na wananchi wa Sunguvuni mkoani Pwani.
 Meneja wa Tarura,Peter Shirima akitoa ufafanuzi wa ujenzi wa barabara.
 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mkuranga, Ally Msikamo akizungumza juu ilani ya CCM na wananchi wa Sunguvuni mkoani Pwani.Picha zote na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii
 Wananchi wa unguvuni mkoani Pwani  wakimsikiliza  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega
Muonekano wa jengo la  Zahanati ya Sunguvuni mkoani Pwani.




Hivyo makala Naibu Waziri Ulega akutana na wananchi wa kijiji cha Sunguvuni

yaani makala yote Naibu Waziri Ulega akutana na wananchi wa kijiji cha Sunguvuni Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Naibu Waziri Ulega akutana na wananchi wa kijiji cha Sunguvuni mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/naibu-waziri-ulega-akutana-na-wananchi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Naibu Waziri Ulega akutana na wananchi wa kijiji cha Sunguvuni"

Post a Comment

Loading...