Loading...

NEWZ ALERT: JENGO LA CLOUDS MEDIA GROUP LAWAKA MOTO MAPEMA LEO.

Loading...
NEWZ ALERT: JENGO LA CLOUDS MEDIA GROUP LAWAKA MOTO MAPEMA LEO. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEWZ ALERT: JENGO LA CLOUDS MEDIA GROUP LAWAKA MOTO MAPEMA LEO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEWZ ALERT: JENGO LA CLOUDS MEDIA GROUP LAWAKA MOTO MAPEMA LEO.
link : NEWZ ALERT: JENGO LA CLOUDS MEDIA GROUP LAWAKA MOTO MAPEMA LEO.

soma pia


NEWZ ALERT: JENGO LA CLOUDS MEDIA GROUP LAWAKA MOTO MAPEMA LEO.

 Magari ya ya Jeshi la zimamoto yakiwa yamefika eneo la tukio,katika jengo la Ofisi za Clouds Media Group lililopo Mikocheni jijini Dar, kukabiliana na moto uliozuka mapema leo kwenye moja chumba cha ofisi na kusababisha baadhi ya vifaa kuungua na kuharibika kabisa,aidha mpaka sasa Globu ya jamii haijaelezwa haswa chanzo cha moto ni nini.Hivyo Tunaendelea kufuatilia na kupata taarifa kamili.
 Sehemu ya jengo la Ofisi za Clouds Media Group kama lionekanavyo pichani huku shughuli za uzimaji moto huo ukiendelea .
  Mmoja wa Askari wa jeshi la Zimamoto  akiendelea kuudhibiti  moto uliokuwa umezuka ndani ya moja ya Ofisi za jengo hilo
 Baadhi ya Wafanyakazi wa Clouds Media Group pamoja na baadhi ya ndugu jamaa na marafiki wa Clouds wakiwa nje ya jengo hilo wakifuatilia tukio la uzimaji moto uliozuka katika jengo hilo mapema leo,Mikocheni jijini Dar.




Hivyo makala NEWZ ALERT: JENGO LA CLOUDS MEDIA GROUP LAWAKA MOTO MAPEMA LEO.

yaani makala yote NEWZ ALERT: JENGO LA CLOUDS MEDIA GROUP LAWAKA MOTO MAPEMA LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEWZ ALERT: JENGO LA CLOUDS MEDIA GROUP LAWAKA MOTO MAPEMA LEO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/newz-alert-jengo-la-clouds-media-group.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NEWZ ALERT: JENGO LA CLOUDS MEDIA GROUP LAWAKA MOTO MAPEMA LEO."

Post a Comment

Loading...