Loading...
title : Rais Dk Shein akutana na ujumbe wa shirika la Hel Age International
link : Rais Dk Shein akutana na ujumbe wa shirika la Hel Age International
Rais Dk Shein akutana na ujumbe wa shirika la Hel Age International
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Shirika la kuwahudumia Wazee Duniani "Help Age International" Bw.Arun Maura alipoongoza ujumbe aliofuatana nao ulipofika Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 01/11/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Shirika la kuwahudumia Wazee Duniani "Help Age International" ulioongozwa na Mwenyekiti Bw.Arun Maura (wa pili kulia) wakati ulipofika Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 01/11/2017.
Hivyo makala Rais Dk Shein akutana na ujumbe wa shirika la Hel Age International
yaani makala yote Rais Dk Shein akutana na ujumbe wa shirika la Hel Age International Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein akutana na ujumbe wa shirika la Hel Age International mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/rais-dk-shein-akutana-na-ujumbe-wa.html
0 Response to "Rais Dk Shein akutana na ujumbe wa shirika la Hel Age International"
Post a Comment