Loading...
title : RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA MAPUMZIKONI CHATO MKOANI GEITA
link : RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA MAPUMZIKONI CHATO MKOANI GEITA
RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA MAPUMZIKONI CHATO MKOANI GEITA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia picha kwenye simu pamoja na Mama yake mzazi Suzana Magufuli (katikati) pamoja na mdogo wake Monica wa kwanza (kushoto). Rais Dkt. Magufuli yupo mapumzikoni katika Kijiji cha Lubambangwe Chato Mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia picha kwenye simu aliyokuwa akioneshwa na Mama yake mzazi Mama Suzana Magufuli nyumbani kwao katika kijiji cha Lubambangwe Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza radio pamoja na Mama yake mzazi Suzana Magufuli wa pili kutoka (kushoto) mdogo wake Monica wa kwanza (kushoto), na Dada yake Asteria wa kwanza (kulia). Rais Dkt. Magufuli yupo mapumzikoni katika Kijiji cha Lubambangwe Chato Mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza radio pamoja na Mama yake mzazi Suzana Magufuli wa pili kutoka (kushoto) mdogo wake Monica wa kwanza kushoto. Rais Dkt. Magufuli yupo mapumzikoni katika Kijiji cha Lubambangwe Chato Mkoani Geita. PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA MAPUMZIKONI CHATO MKOANI GEITA
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA MAPUMZIKONI CHATO MKOANI GEITA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA MAPUMZIKONI CHATO MKOANI GEITA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/rais-dkt-magufuli-akiwa-mapumzikoni.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA MAPUMZIKONI CHATO MKOANI GEITA"
Post a Comment