Loading...

Rais Magufuli amaliza ziara ya siku 3 Uganda, Rais Museveni atoa tamko dhidi ya ICC.

Loading...
Rais Magufuli amaliza ziara ya siku 3 Uganda, Rais Museveni atoa tamko dhidi ya ICC. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Magufuli amaliza ziara ya siku 3 Uganda, Rais Museveni atoa tamko dhidi ya ICC., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Magufuli amaliza ziara ya siku 3 Uganda, Rais Museveni atoa tamko dhidi ya ICC.
link : Rais Magufuli amaliza ziara ya siku 3 Uganda, Rais Museveni atoa tamko dhidi ya ICC.

soma pia


Rais Magufuli amaliza ziara ya siku 3 Uganda, Rais Museveni atoa tamko dhidi ya ICC.



 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipita kwenye gwaride la Kimya lililoandaliwa
kwa heshma na Jeshi la Uganda mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu
nchini Uganda na kurejea nchini. 


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mke wake Mama Janeth
Magufuli wakifurahia ngoma ya asili iliyokuwa ikipigwa na watoto wa nchini
Uganda katika eneo la mpakani la Mutukula kabla ya kurejea nchini.  

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mpakani
mwa Tanzania na Uganda (Mutukula) kuhusu 
ujenzi wa barabara ya Kutoka Miziro hadi Mutukula bila kupitia wilayani
Misenyi. Pembeni yake ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa
Makame Mbarawa akisikiliza.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na viongozi wakuu wa
Majeshi ya Uganda mara baada ya kumaliza ziara yake nchini Uganda.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi wa
mpakani  Mutukula upande wa Uganda mara
baada ya kumaliza ziara yake ya siku tau nchini Uganda. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi wa
mpakani  Mutukula upande wa Uganda mara
baada ya kumaliza ziara yake ya siku tau nchini Uganda. PICHA NA IKULU.


Hivyo makala Rais Magufuli amaliza ziara ya siku 3 Uganda, Rais Museveni atoa tamko dhidi ya ICC.

yaani makala yote Rais Magufuli amaliza ziara ya siku 3 Uganda, Rais Museveni atoa tamko dhidi ya ICC. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli amaliza ziara ya siku 3 Uganda, Rais Museveni atoa tamko dhidi ya ICC. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/rais-magufuli-amaliza-ziara-ya-siku-3_11.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais Magufuli amaliza ziara ya siku 3 Uganda, Rais Museveni atoa tamko dhidi ya ICC."

Post a Comment

Loading...