Loading...

RAIS MAGUFULI KUHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA MHE. UHURU KENYATTA WA KENYA

Loading...
RAIS MAGUFULI KUHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA MHE. UHURU KENYATTA WA KENYA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MAGUFULI KUHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA MHE. UHURU KENYATTA WA KENYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MAGUFULI KUHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA MHE. UHURU KENYATTA WA KENYA
link : RAIS MAGUFULI KUHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA MHE. UHURU KENYATTA WA KENYA

soma pia


RAIS MAGUFULI KUHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA MHE. UHURU KENYATTA WA KENYA


Dar es Salaam, Novemba 24, 2017:
Serikali inautaarifu umma kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ataungana na viongozi wa mataifa mbalimbali kuhudhuria sherehe za kuapishwa Mhe. Uhuru Kenyatta kuwa Rais wa Jamhuri ya Kenya kwa kipindi cha awamu ya pili.
Mhe. Kenyatta ataapishwa siku ya Jumanne, Novemba 28, 2017, jijini Nairobi, baada ya  ushindi alioupata katika uchaguzi wa marudio uliofanyika Oktoba 26 mwaka huu nchini humo.
Imetolewa na:
Dkt. Hassan Abbasi
Mkurugenzi, Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali.


Hivyo makala RAIS MAGUFULI KUHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA MHE. UHURU KENYATTA WA KENYA

yaani makala yote RAIS MAGUFULI KUHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA MHE. UHURU KENYATTA WA KENYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI KUHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA MHE. UHURU KENYATTA WA KENYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/rais-magufuli-kuhudhuria-sherehe-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS MAGUFULI KUHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA MHE. UHURU KENYATTA WA KENYA"

Post a Comment

Loading...