Loading...

RC MAKONDA AONGEZA MUDA WA TAMASHA LA FIESTA KWA MASHARTI.

Loading...
RC MAKONDA AONGEZA MUDA WA TAMASHA LA FIESTA KWA MASHARTI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MAKONDA AONGEZA MUDA WA TAMASHA LA FIESTA KWA MASHARTI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MAKONDA AONGEZA MUDA WA TAMASHA LA FIESTA KWA MASHARTI.
link : RC MAKONDA AONGEZA MUDA WA TAMASHA LA FIESTA KWA MASHARTI.

soma pia


RC MAKONDA AONGEZA MUDA WA TAMASHA LA FIESTA KWA MASHARTI.

Kufuatia Mazungumzo Marefu ya Kina baina ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda na Uongozi wa Clouds Media ameridhia kuongeza Masaa Machache ya Tamasha la Fiesta kwenye Viwanja vya Leaders Club ili kuruhusu Wasanii Wote kutumbuiza.

Katika Mazungumzo hayo  Makonda aliwataka Clouds kuchagua Kati ya kufanya Tamasha hilo kwenye Uwanja wa Uhuru ili wapige Mziki hadi Asubuhi au kufanya kwenye Viwanja vya Leaders Club Clouds ambapo Clouds walichagua kufanya Tamasha hilo Viwanja vya Leaders Club na wapo tayari kufuata Sharti la kutoongeza Muda waliokubaliana.

" Baada ya Tamasha sitoruhusu tena Viwanja vya Leaders Club kutumika kwa Matamasha ya Usiku kwakuwa ni Usumbufu wa Wakazi na Ofisi za Bilozi zilizopo jirani na Viwanja hivyo"

Amesema kuwa Viwanja hivyo kwa sasa vitatumika kwa Matukio ya Nyakati za Mchana pekee hivyo kwa anaetaka kufanya Tamasha la kukesha atumie Uwanja wa Uhuru ambao umefunikwa na haupo karibu na Makazi ya Watu.

Amewataka Wananchi kufuata Sheria, Kanuni na taratibu zilizowekwa na Serikali na kusisitiza kuwa Sheria haina upendeleo kwa yoyote.

Amewasihi Wadau wa maendeleo kuwekeza katika Ujenzi wa Kumbi kubwa zenye Soundproof na uwezo wa kubeba watu Wengi ili zitumike kwenye matamasha ya kukesha.



Hivyo makala RC MAKONDA AONGEZA MUDA WA TAMASHA LA FIESTA KWA MASHARTI.

yaani makala yote RC MAKONDA AONGEZA MUDA WA TAMASHA LA FIESTA KWA MASHARTI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA AONGEZA MUDA WA TAMASHA LA FIESTA KWA MASHARTI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/rc-makonda-aongeza-muda-wa-tamasha-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC MAKONDA AONGEZA MUDA WA TAMASHA LA FIESTA KWA MASHARTI."

Post a Comment

Loading...