Loading...
title : RC MAKONDA ATEMBELEA OFISI ZA CLOUDS MEDIA GROUP NA KUTOA POLE
link : RC MAKONDA ATEMBELEA OFISI ZA CLOUDS MEDIA GROUP NA KUTOA POLE
RC MAKONDA ATEMBELEA OFISI ZA CLOUDS MEDIA GROUP NA KUTOA POLE
Mwambawahabari
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda (wa pili kulia), akinena jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga (kushoto).
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Dar es Salaam mapema leo ametembelea Ofisi za Clouds Media Group kutoa pole ikiwa ni siku moja baada ya ofisi hizo kukumbwa na janga la moto uliotokea hapo jana majira ya saa nne asubuhi.
Makonda akiongea na maofisa wa vikosi vya usalama.
Viongozi wengine wa serikali waliofika ofisini hapo ni Mkuu wa Wilaya wa Kinondoni, Ally Hapi na Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamin Sitta.
Hata hivyo, tayari matangazo ya vituo vya Clouds FM na Clouds TV yamerejea hewani baada ya kupotea siku nzima jana kutokana na hitilafu ya iliyosababishwa na moto huo ambao chanzo chake hadi sasa hakijajulikana.
Hivyo makala RC MAKONDA ATEMBELEA OFISI ZA CLOUDS MEDIA GROUP NA KUTOA POLE
yaani makala yote RC MAKONDA ATEMBELEA OFISI ZA CLOUDS MEDIA GROUP NA KUTOA POLE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA ATEMBELEA OFISI ZA CLOUDS MEDIA GROUP NA KUTOA POLE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/rc-makonda-atembelea-ofisi-za-clouds.html
0 Response to "RC MAKONDA ATEMBELEA OFISI ZA CLOUDS MEDIA GROUP NA KUTOA POLE"
Post a Comment