Loading...
title : RC MAKONDA ATINGA OFISI ZA CLOUDS MEDIA GROUP KUWAPA POLE.
link : RC MAKONDA ATINGA OFISI ZA CLOUDS MEDIA GROUP KUWAPA POLE.
RC MAKONDA ATINGA OFISI ZA CLOUDS MEDIA GROUP KUWAPA POLE.
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar,ikiongozwa na Mkuu wa Mkoa Mh Paul Makonda wamefika mjengoni Clouds Media Group kutoa pole na kujionea athari zilizosababishwa na moto uliozuka jana asubuhi katika ofisi hizo zilizopo Mikocheni jijini Dar.Pichani wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Bwa.Joseph Kusaga.
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar,ikiongozwa na Mkuu wa Mkoa Mh Paul Makonda wakipata maelezo mafupi mara baada ya kufika katika jengo la Clouds Media Group kutoa pole na kujionea athari zilizosababishwa na moto uliozuka jana asubuhi katika ofisi hizo zilizopo Mikocheni jijini Dar.
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Mh Paul Makonda akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Clouds Media Group Bwa.Joseph Kusaga mara baada ya kuwasili katika ofisi hizo kutoa pole na kujionea athari zilizosababishwa na moto uliozuka jana asubuhi katika ofisi hizo zilizopo Mikocheni jijini Dar.Pichani kati ni Mmoja wa Maafisa Uhusiano wa Kampuni hiyo Simon Simalenga
Hivyo makala RC MAKONDA ATINGA OFISI ZA CLOUDS MEDIA GROUP KUWAPA POLE.
yaani makala yote RC MAKONDA ATINGA OFISI ZA CLOUDS MEDIA GROUP KUWAPA POLE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA ATINGA OFISI ZA CLOUDS MEDIA GROUP KUWAPA POLE. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/rc-makonda-atinga-ofisi-za-clouds-media.html
0 Response to "RC MAKONDA ATINGA OFISI ZA CLOUDS MEDIA GROUP KUWAPA POLE."
Post a Comment