Loading...
title : SAFARI YA NDEMLA YASOGEZWA MBELE, SASA KUONDOKA ALHAMIS
link : SAFARI YA NDEMLA YASOGEZWA MBELE, SASA KUONDOKA ALHAMIS
SAFARI YA NDEMLA YASOGEZWA MBELE, SASA KUONDOKA ALHAMIS
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tunapenda kuwafahamisha kuwa safari ya mchezaji wetu Hamis Said Juma Ndemla iliyokuwa ifanyike leo Jumanne imesogezwa mbele.
Ndemla ambaye amepata nafasi ya kwenda kufanya majaribio katika klabu ya AFC Eskilstuna inayoshiriki ligi kuu nchini Sweden ,sasa ataondoka nchini siku ya Alhamis ya tarehe 9 ya mwezi huu.
Mabadiliko haya ya safari hayataathiri muda wake wa majaribio katika klabu hiyo,ambapo atakuwa huko kwa siku 14.
Imetolewa na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano,
Simba Sports Club.
Haji S.Manara.
7/11/2017
Simba Nguvu Moja..!!!
Hivyo makala SAFARI YA NDEMLA YASOGEZWA MBELE, SASA KUONDOKA ALHAMIS
yaani makala yote SAFARI YA NDEMLA YASOGEZWA MBELE, SASA KUONDOKA ALHAMIS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SAFARI YA NDEMLA YASOGEZWA MBELE, SASA KUONDOKA ALHAMIS mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/safari-ya-ndemla-yasogezwa-mbele-sasa.html
0 Response to "SAFARI YA NDEMLA YASOGEZWA MBELE, SASA KUONDOKA ALHAMIS"
Post a Comment