Loading...
title : Sailors yachapwa na Zimamoto, Boys waanza Ligi
link : Sailors yachapwa na Zimamoto, Boys waanza Ligi
Sailors yachapwa na Zimamoto, Boys waanza Ligi
Kikosi cha Black Sailors
Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Ligi kuu soka ya Zanzibar kanda ya Unguja imeendelea tena jana kwa kupigwa michezo miwili katika uwanja wa Amaan ambapo saa 8 za mchana Jang'ombe Boys waliichapa Charawe mabao 4-2.
Mabao ya Boys yamefungwa na Khamis Mussa (Rais) dakika ya 3, 9, na 21 (Hat-trick) na bao la nne likifungwa na Hafidh Bariki (Fii) dakika ya 83 huku mabao ya Charawe yakiwekwa nyavuni na Ulimwengu Edimundi dakika ya 66 na Yussuf Mkubwa dakika ya 68.
Saa 10 za Jioni Black Sailors ikachezea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Zimamoto.
Mabao ya Zimamoto yamefungwa na Hamid Mgeni dakika ya 45 na Juma Ali dakika 80 huku bao pekee la Sailors likifungwa na Hassan Mkwabi dakika 78.
Ligi hiyo kesho itakwenda mapumziko na itaendelea tena Jumatatu ya Novemba 6 katika uwanja wa Amaan ambapo Saa 8:00 za mchana Polisi dhidi ya KMMK na saa 10:00 za jioni Kilimani City dhidi ya Chuoni.
Hivyo makala Sailors yachapwa na Zimamoto, Boys waanza Ligi
yaani makala yote Sailors yachapwa na Zimamoto, Boys waanza Ligi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Sailors yachapwa na Zimamoto, Boys waanza Ligi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/sailors-yachapwa-na-zimamoto-boys.html
0 Response to "Sailors yachapwa na Zimamoto, Boys waanza Ligi"
Post a Comment