Loading...

SAMATTA NJE WIKI SITA, AUMIA GOTI SASA KUWAKOSA BENIN NOV 12

Loading...
SAMATTA NJE WIKI SITA, AUMIA GOTI SASA KUWAKOSA BENIN NOV 12 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SAMATTA NJE WIKI SITA, AUMIA GOTI SASA KUWAKOSA BENIN NOV 12, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SAMATTA NJE WIKI SITA, AUMIA GOTI SASA KUWAKOSA BENIN NOV 12
link : SAMATTA NJE WIKI SITA, AUMIA GOTI SASA KUWAKOSA BENIN NOV 12

soma pia


SAMATTA NJE WIKI SITA, AUMIA GOTI SASA KUWAKOSA BENIN NOV 12

NAHODHA wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ anayekipiga na KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta atakuwa nje ya uwanja kwa majuma sita akiuguza majera ya goti aliyopata katika mchezo wa ligi kuu uliomalizika kwa sare tasa dhidi ya Lokeren.

Samatta alishindwa kuendelea na mchezo baada kuumia dakika ya 40 nafasi yake ikachukuliwa na Nikos Karelis aliyerejea hivi karibuni baada ya kukaa nje kwa muda mrefu pia kutokana na majeraha.

Ripoti ya daktari iliyotokana na majibu ya vipimo alivyofanyiwa straika huyo jana inasema amepata jeraha dogo katika misuli ya goti inayofahamika kitaalamu kama ‘Literal Ligament’ huku pia maungio ya mfupa wa paja na wa ugoko (meniscus) yakionekana kuathirika pia.





“Literal ligament imechanika kidogo, hiyo itapona yenyewe lakini pia wamegundua tatizo kwenye meniscus ambalo inabidi lifanyiwe upasuaji mdogo ili lisije kuleta shida hapo baadae,” alisema Samatta

Upasuaji huo mdogo utamlazimisha Samatta kukaa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki sita akipata tiba na mazoezi huku timu yake ikiwa nafasi ya 10 kwenye msimamo wa ligi kuu nchini Ubelgiji baada ya kukusanya pointi 19 pekee.

Samatta ndiye mshambuliaji tegemeo klabuni hapo akiwa amejihakikishia nafasi ya kudumu kwenye kikosi cha kwanza licha ya kuwepo kwa wakali kadhaa.

By Boiplus Media.


Hivyo makala SAMATTA NJE WIKI SITA, AUMIA GOTI SASA KUWAKOSA BENIN NOV 12

yaani makala yote SAMATTA NJE WIKI SITA, AUMIA GOTI SASA KUWAKOSA BENIN NOV 12 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SAMATTA NJE WIKI SITA, AUMIA GOTI SASA KUWAKOSA BENIN NOV 12 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/samatta-nje-wiki-sita-aumia-goti-sasa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SAMATTA NJE WIKI SITA, AUMIA GOTI SASA KUWAKOSA BENIN NOV 12"

Post a Comment

Loading...