Loading...

SERIKALI KUTOA MUONGOZO WA UTOAJI TIBA KWA HOSPITALI ZOTE

Loading...
SERIKALI KUTOA MUONGOZO WA UTOAJI TIBA KWA HOSPITALI ZOTE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI KUTOA MUONGOZO WA UTOAJI TIBA KWA HOSPITALI ZOTE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI KUTOA MUONGOZO WA UTOAJI TIBA KWA HOSPITALI ZOTE
link : SERIKALI KUTOA MUONGOZO WA UTOAJI TIBA KWA HOSPITALI ZOTE

soma pia


SERIKALI KUTOA MUONGOZO WA UTOAJI TIBA KWA HOSPITALI ZOTE

Na.WAMJW,Ruangwa.

Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na watoto inatarajia kutoa mwongozo wa utoaji tiba kwenye hospitali zote nchini ili kuwe na mfumo mzuri wa dawa muhimu ili kuepusha madaktari kuagiza dawa ambazo zipo nje ya mfumo wa dawa muhimu.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya Dkt.Faustine Ndugulile wakati wa ziara yake ya kuangalia hali ya upatikanaji wa dawa kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya Serikali .

“Kabla ya mwisho wa mwaka tunataka kutoa muongozo huo(Standard Treatment Guidline) kwa sababu imekua changamoto kwani wale wauzaji wakubwa wa dawa wamekua wakizitembelea hospitali kubwa na kuwarubuni wanunue dawa zao ambazo zipo nje ya dawa zetu muhimu”

Kwahiyo muongozo huo itakua kila ugonjwa dawa ya kwanza itakua ipi na kama itashindika dawa itakayofuata dawa ipo na hizo dawa zitaagizwa na kutunzwa na Bohari ya Dawa(MSD).

Hata hivyo Dkt.Ndugulile amewataka watendaji wa hospitali hiyo kuweka utaratibu na mpangilio mzuri na unaohitajikwa wa utunzaji wa dawa kwenye stoo ya madawa iliyopo hospitalini hapo,baada ya kukuta hakuna upangaji mzuri wa dawa na vifaa tiba “mmenithibitishia kwamba dawa zote mnazipata kwa asilimia 90 hivyo ni vyema Mfamasia wa Wilaya kuzipanga dawa hizo vizuri na kuweka kiyoyozi ambacho kitasaidia kutunza dawa kwa muda bila kuharibika”

Alisema hivi sasa nchi haina tatizo la upatikanaji wa dawa kwani bajeti ya dawa hivi sasa imeongezeka kutoka shilingi bilioni 30 mpaka zaidi ya bilioni 260 kwa mwaka huu wa fedha “bajeti hii imekua ikitolewa na Mhe.Rais amekua akizitoa fedha zote,hivyo hatuna shida ya fedha hivyo nasi hatutarajii kuwa na shida ya dawa na dawa tunazokuwa tunazipata zitunzwe vizuri”.



Hivyo makala SERIKALI KUTOA MUONGOZO WA UTOAJI TIBA KWA HOSPITALI ZOTE

yaani makala yote SERIKALI KUTOA MUONGOZO WA UTOAJI TIBA KWA HOSPITALI ZOTE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI KUTOA MUONGOZO WA UTOAJI TIBA KWA HOSPITALI ZOTE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/serikali-kutoa-muongozo-wa-utoaji-tiba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI KUTOA MUONGOZO WA UTOAJI TIBA KWA HOSPITALI ZOTE"

Post a Comment

Loading...