Loading...

SERIKALI YA BURUNDI YANUIA KUWAREJESHA WANANCHI WAKE WALIOKIMBILIA TANZANIA

Loading...
SERIKALI YA BURUNDI YANUIA KUWAREJESHA WANANCHI WAKE WALIOKIMBILIA TANZANIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YA BURUNDI YANUIA KUWAREJESHA WANANCHI WAKE WALIOKIMBILIA TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YA BURUNDI YANUIA KUWAREJESHA WANANCHI WAKE WALIOKIMBILIA TANZANIA
link : SERIKALI YA BURUNDI YANUIA KUWAREJESHA WANANCHI WAKE WALIOKIMBILIA TANZANIA

soma pia


SERIKALI YA BURUNDI YANUIA KUWAREJESHA WANANCHI WAKE WALIOKIMBILIA TANZANIA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi wa Tanzania, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika mkutano na wakimbizi wa Burundi wanaoishi kambi ya Nyarugusu, iliyoko wilayani Kasulu, mkoani Kigoma. Katika ziara hiyo iliyokuwa pia na ujumbe kutoka Serikali ya Burundi, ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Ndani na Mafunzo ya Uzalendo, Pascal Barandagiye, lengo ikiwa kukagua zoezi la urejeshaji wakimbizi hao makwao linavyoendelea.
Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kanali Marco Gaguti, akizungumza katika mkutano na wakimbizi wa Burundi wanaoishi kambi ya Nyarugusu, iliyoko wilayani Kasulu, mkoani Kigoma. Katika ziara hiyo iliyokuwa pia na ujumbe kutoka Serikali ya Burundi, ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Ndani na Mafunzo ya Uzalendo, Pascal Barandagiye, lengo ikiwa kukagua zoezi la urejeshaji wakimbizi hao makwao linavyoendelea.
Mkimbizi wa Burundi anayeishi kambi ya Nyarugusu, iliyoko wilayani Kasulu, mkoani Kigoma Paul Ndalaizye., akitoa maoni kwa niaba ya wakimbizi wanaoishi katika kambi hiyo wakati wa Mkutano uliohutubiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Waziri wa Mambo ya Ndani na Mafunzo ya Uzalendo, Pascal Barandagiye (hawapo pichani), lengo ikiwa kukagua zoezi la urejeshaji wakimbizi hao makwao linavyoendelea.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Waziri wa Mambo ya Ndani na Mafunzo ya Uzalendo nchini Burundi, Pascal Barandagiye (kulia), wakipiga ngoma baada ya kuwasili katika kambi ya wakimbizi Nyarugusu, iliyoko Wilayani Kasulu,mkoani Kigoma.
Wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi ya Nyarugusu, wilayani Kasulu, mkoani Kigoma wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani) katika mkutano na wakimbizi hao, Katika ziara hiyo iliyokuwa pia na ujumbe kutoka Serikali ya Burundi, ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Ndani na Mafunzo ya Uzalendo, Pascal Barandagiye, lengo ikiwa kukagua zoezi la urejeshaji wakimbizi hao makwao linavyoendelea.

BOFYA HAPA KWA HABARI ZAIDI


Hivyo makala SERIKALI YA BURUNDI YANUIA KUWAREJESHA WANANCHI WAKE WALIOKIMBILIA TANZANIA

yaani makala yote SERIKALI YA BURUNDI YANUIA KUWAREJESHA WANANCHI WAKE WALIOKIMBILIA TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YA BURUNDI YANUIA KUWAREJESHA WANANCHI WAKE WALIOKIMBILIA TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/serikali-ya-burundi-yanuia-kuwarejesha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI YA BURUNDI YANUIA KUWAREJESHA WANANCHI WAKE WALIOKIMBILIA TANZANIA"

Post a Comment

Loading...