Loading...

SERIKALI YATAIFISHA NG’OMBE 6648 MISENYI KAGERA

Loading...
SERIKALI YATAIFISHA NG’OMBE 6648 MISENYI KAGERA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YATAIFISHA NG’OMBE 6648 MISENYI KAGERA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YATAIFISHA NG’OMBE 6648 MISENYI KAGERA
link : SERIKALI YATAIFISHA NG’OMBE 6648 MISENYI KAGERA

soma pia


SERIKALI YATAIFISHA NG’OMBE 6648 MISENYI KAGERA

Mwambawahabari




Waziri
wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina akiiongea na Kamati ya Ulinzi na
Usalama ya Wilaya ya Misenyi mara baada ya zoezi la kutaifisha ng'ombe.

Katika
Picha ni sehemu ya ng'ombe 6638 waliotaifishwa na serikali baada ya
kuingia nchini kinyemela kutoka nchi jirani ya uganda ng'ombe hao
wanasubiri maamuzi ya Mhakama kwa ajili ya Kupigwa mnada.


Aliyeshika Samakai aina ya Sato ni Waziri Mpina alipotembelea Mradi wa Mabwawa ya Samaki wa Luhanga Wilayani Muleba.

Waziri Mpina katika Picha akivua samaki aina ya kambale alipotembelea Mradi wa mabwawa ya samaki wa Luhanga Wilayani Muleba.

NA MWANDISHI MAALUM MISENYI

Akiwa
katika muendelezo wa ziara zake za oparation kamata mifugo, Waziri wa
Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina Ameagiza kukamilisha taratibu za
Uhamiaji na Mahakama kupitia mwanasheria mkuu wa Serikali wa Wilaya ya
Misenyi Pamoja na Uhamiaji, ili kuweza kupigwa mnada kwa idadi ya
ng’ombe 6648 walioingia nchini kinyemela toka nchi jirani ya Uganda na
kukamatwa.

Waziri mpina alisema uvamizi wa kundi kubwa kama hilo
la wanyama linaweza kusabisha madhara makubwa katika mazingira kama
vile mmomonyoko wa ardhi, kuharibifu wa vyanzo vya maji, kumaliza
malisho ya mifugo iliyoko nchini, kusababisha migogogoro ya mara kwa
mara kwa wakulima na wafugaji na hata kuleta maambukizi ya magonjwa ya
wanyama. 

“Sisi kama Serikali hatuwezi kuruhusu hali hii iendelee na mimi
kama Waziri Mwenye dhamana nina jukumu la kuhakikisha tunalinda
lasimali hii ya malisho” Alisema Mpina.

Mpina alisema suala hili
haliingiliani na Ushirika wa Afrika Mashariki kwani Ushirika huo upo
kisheria hivyo wavamizi wanaoingiza mifugo kinyemela nchini toka nchi
jirani ni wahalifu kama wahalifu wengine. “Kwa hiyo naangiza ng’ombe
hawa 6648 waliokamatwa hatua ziendelee na ambao hawajakamatwa wakamatwe
na wataifishwe na Serikali.”Alisisitiza Waziri Mpina.


Hivyo makala SERIKALI YATAIFISHA NG’OMBE 6648 MISENYI KAGERA

yaani makala yote SERIKALI YATAIFISHA NG’OMBE 6648 MISENYI KAGERA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YATAIFISHA NG’OMBE 6648 MISENYI KAGERA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/serikali-yataifisha-ngombe-6648-misenyi_2.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI YATAIFISHA NG’OMBE 6648 MISENYI KAGERA"

Post a Comment

Loading...