Loading...

Siasa : UVCCM, Utendaji miaka miwili ya Serikali ya JPM Kielelezo cha Uzalendo

Loading...
Siasa : UVCCM, Utendaji miaka miwili ya Serikali ya JPM Kielelezo cha Uzalendo - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Siasa : UVCCM, Utendaji miaka miwili ya Serikali ya JPM Kielelezo cha Uzalendo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Siasa : UVCCM, Utendaji miaka miwili ya Serikali ya JPM Kielelezo cha Uzalendo
link : Siasa : UVCCM, Utendaji miaka miwili ya Serikali ya JPM Kielelezo cha Uzalendo

soma pia


Siasa : UVCCM, Utendaji miaka miwili ya Serikali ya JPM Kielelezo cha Uzalendo






Kaimu katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCM) Shaka Hamdu Shaka (wa tatu kulia)akishiriki kuimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa kongamano la tathmini ya uchambuzi wa utendaji wa miaka miwili wa serikali ya Rais John Magufuli kwenye Ukumbi wa BKM Mkoani Tanga jana.Kulia ni Mweyekiti wa ccm wilaya ya Tanga Meja Mstaafu Khamis Mkoba(picha na Fahdi Siraji)

Chipukizi wa CCM Mkoa wa Tanga wakiimbisha Wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa kongamano la tathmini ya uchambuzi wa miaka miwili ya serikali ya Rais John Magufuli kwenye Ukumbi wa BKM Mkoani humo.

Sehemu ya washiriki kwenye kongamano lililoandaliwa na uvccm kuhusu tathmini na uchambuzi wa miaka miwili ya utendaji wa serikali ya Rais Dk John Magufuli lilifanyika Mkoani humo (picha na fahd Siraji)

Katibu wa ccm mkoa wa Tanga Allan Kingazi akihutubia katika kongamano lililoandaliwa na uvccm kuhusu tathmini na uchambuzi wa utendaji wa miaka miwili ya serikali ya Rais Dk John Magufuli

Katibu wa uvccm wilaya ya Tanga mjini Abdurahman Killo akisoma tamko la uvccm kuunga mkono utendaji wa miaka miwili wa serikali ya Rais John Magufuli lilifanyika ukumbi wa BMK Mkoani Tanga.

Sehemu ya uwakikisjinwa Jumuiya ya Wanawake Mkoa Tanga walioshiriki kwenye kongamano la tathmini ya Uchambuzi wa utendaji wa miaka miwili ya serikali ya Rais dk John Magufuli likifanyika mkoani Tanga.

Mwenyekiti wa uvccm Mkoa Tanga Abdiely Makange akizungumza kabla ya kumkaribisha Kaimu katibu mkuu wa uvccm Shaka Hamdu Shaka azungumze na makundi ya vijana wa vyuo na vyuo vikuu.mama lishe na boda boda kwnye Ukumbi bwa BMK Mkoani Tanga.


Kaimu katibu mkuu Shaka Hamdu Shaka akizumgumza kwenye kongamano lilioandaliwa na uvccm kuhusu tathmini ya uchambuzi wa utendaji wa miaka miwili wa serikali ya Rais dk John Magufuli kwenye ukumbi wa bmk Mkoani Tanga jana.(picha na Fahdi Siraji)


Hivyo makala Siasa : UVCCM, Utendaji miaka miwili ya Serikali ya JPM Kielelezo cha Uzalendo

yaani makala yote Siasa : UVCCM, Utendaji miaka miwili ya Serikali ya JPM Kielelezo cha Uzalendo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Siasa : UVCCM, Utendaji miaka miwili ya Serikali ya JPM Kielelezo cha Uzalendo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/siasa-uvccm-utendaji-miaka-miwili-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Siasa : UVCCM, Utendaji miaka miwili ya Serikali ya JPM Kielelezo cha Uzalendo"

Post a Comment

Loading...