Loading...

SIMBA HAOO.....KUELEKEA MBEYA KUZIFUATA POINTI 6

Loading...
SIMBA HAOO.....KUELEKEA MBEYA KUZIFUATA POINTI 6 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SIMBA HAOO.....KUELEKEA MBEYA KUZIFUATA POINTI 6, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SIMBA HAOO.....KUELEKEA MBEYA KUZIFUATA POINTI 6
link : SIMBA HAOO.....KUELEKEA MBEYA KUZIFUATA POINTI 6

soma pia


SIMBA HAOO.....KUELEKEA MBEYA KUZIFUATA POINTI 6


KIKOSI cha Simba kinatarajiwa kuondoka kesho kuelekea mkoani Mbeya kwa ajili ya michezo miwili ya  ligi kuu Vodacom dhidi ya Mbeya City na Prison huku  kocha mkuu wa timu hiyo, Joseph Omog akiweka wazi kuwa anataka kuvunja rekodi ambayo ni kuibuka na pointi sita kwenye michezo miwili mbele ya wapinzani wao, Mbeya City na Prisons.


Omog na jeshi lake la Simba litakuwa na kibarua kigumu cha kucheza kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya ambapo mara kwa mara wamekuwa na matokeo mabaya, ambapo Jumapili watawavaa Mbeya City kwenye uwanja huo kisha kumaliza na Prisons, Novemba 18, mwaka huu.

Mcameroon huyo amesema pamoja na rekodi mbaya kila wanapocheza uwanjani hapo lakini safari hii hawataruhusu hilo litokee kutokana na kuwa na uhitaji mkubwa wa pointi tatu za kila mchezo.

“Tunajua kuwa mara kwa mara tunasumbuka kupata matokeo hapa Sokoine, lakini safari hii sitakubali kuona hilo linatokea tayari tumeshaweka mikakati kabambe ya kupata pointi sita kutoka kwa wenyeji wetu".

“Tunataka tushinde kwa ajili ya kujiongezea wigo wa pointi dhidi ya mahasimu wetu ambao tunalingana nao kwenye msimamo, na hatuwezi kuwakimbia bila ya kupata matokeo mazuri hasa kwenye mechi kama hizi za ugenini.

“Niseme wazi kwamba lile suala eti la kuwa na rekodi ya kupoteza mechi kila tunapokuwa hapa Mbeya kwa sasa ndiyo limefika mwisho,” alisema kocha huyo.


Mratibu wa timu hiyo, Abbas Ally alisema taratibu zote za kukamirisha safari hiyo zimekamilika.“Timu inatarajiwa kuondoka jijini Dar kesho saa tatu kamili asubuhi na ndege tukielekea Mbeya kwa ajili ya mchezo wetu wa Jumapili dhidi ya Mbeya City na Prison.




Hivyo makala SIMBA HAOO.....KUELEKEA MBEYA KUZIFUATA POINTI 6

yaani makala yote SIMBA HAOO.....KUELEKEA MBEYA KUZIFUATA POINTI 6 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA HAOO.....KUELEKEA MBEYA KUZIFUATA POINTI 6 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/simba-haookuelekea-mbeya-kuzifuata.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SIMBA HAOO.....KUELEKEA MBEYA KUZIFUATA POINTI 6"

Post a Comment

Loading...