Loading...
title : SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA PAMOJA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA HUAWEI TANZANIA.
link : SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA PAMOJA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA HUAWEI TANZANIA.
SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA PAMOJA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA HUAWEI TANZANIA.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mheshimiwa Hanne – Marie Kaarstad (katikati) pamoja na Msaidizi wake katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mheshimiwa Hanne – Marie Kaarstad (kulia) alipomtembelea leo ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Huawei Technologies Tanzania, Ndg. Gao Mengdong (katikati) na Msaidizi wa Mkurugenzi, Ndg. Kyle Ma (kulia) katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Huawei Technologies Tanzania, Ndg. Gao Mengdong pale alipomtembelea leo ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na ugeni kutoka ubalozi wa Norway ulioongozwa na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mheshimiwa Hanne – Marie Kaarstad (wa pili kulia) walipomtembelea leo ofisini kwake Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA PAMOJA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA HUAWEI TANZANIA.
yaani makala yote SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA PAMOJA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA HUAWEI TANZANIA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA PAMOJA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA HUAWEI TANZANIA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/spika-job-ndugai-akutana-na-kuzungumza.html
0 Response to "SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA PAMOJA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA HUAWEI TANZANIA."
Post a Comment