Loading...

TAARIFA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Loading...
TAARIFA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAARIFA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAARIFA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS
link : TAARIFA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

soma pia


TAARIFA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakanusha taarifa inayosambaa katika Mitandao ya Kijamii kuhusu Taasisi ya Kiraia ijulikanayo kama Samia Habari Suluhu. 

Taasisi hiyo inajitambulisha  kuwa inatoa mikopo ya fedha taslim, pikipiki na bajaji kwa wanawake wajasiriamali kwa masharti ya kuweka dhamana ya fedha taslimu shilingi laki mbili. Ofisi inapenda kuujulisha umma kuwa taarifa hizo ni za uongo na uzushi na zina lengo la kuupotosha umma wa Watanzania.

Makamu wa Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, hamiliki taasisi yoyote ya aina hiyo na hahusiki kwa namna yoyote na kazi za taasisi hiyo na wala haitambui taasisi hiyo.

Ofisi ya Makamu wa Rais inawataka Wananchi kuzipuuza taarifa hizo zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kwani zinalenga kuleta taharuki na kupotosha Umma wa Watanzania.

Imetolewa na:
Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ikulu- Dar es Salaam.


Hivyo makala TAARIFA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

yaani makala yote TAARIFA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/taarifa-kutoka-ofisi-ya-makamu-wa-rais_20.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TAARIFA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS"

Post a Comment

Loading...