Loading...
title : TAARIFA YA MEYA WA JIJI LA DAR ISAYA MWITA AKIKANUSHA KUHUSU KUDAIWA KUTAKA KUHAMA CHAMA CHA CHADEMA
link : TAARIFA YA MEYA WA JIJI LA DAR ISAYA MWITA AKIKANUSHA KUHUSU KUDAIWA KUTAKA KUHAMA CHAMA CHA CHADEMA
TAARIFA YA MEYA WA JIJI LA DAR ISAYA MWITA AKIKANUSHA KUHUSU KUDAIWA KUTAKA KUHAMA CHAMA CHA CHADEMA
Ndugu waandishi wa habari: Nimeshikwa na mshtuko, simanzi baada ya kusambaa kwa taarifa ambazo naweza kusema kuwa ni za uzushi kwamba ninampango wa kujiondoa ndani ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema. naomba taarifa hizo zipuuzwe manahazina ukweli wowote na kwamba zinampango wa kunichafua mimi pamoja na Chama Changu.
Ndugu wandishi wa habari : Napenda ieleweke kuwa sijawahi kudhani wala kufikiria kuhama Chadema na kwenda kwenye chama chochote kile cha siasa. Chadema ni chama ambacho nimetoka nacho mbali tangu mwaka 2004 hadi leo, nimejenga chama kwa gaharama zangu mwenyewe.
Ndugu waandishi wa habari: Leo nimekuwa Meya wa jiji la Dar es Salaam kupitia Chama Changu cha Chadema,natambua kuwa chama kimeniheshimu sana kwa kunipa nafasi hii hivyo sina sababu ya kuondoka kwani ninania ya kuwatumikia Wananchi ambao wameniamini na wamenichagua kwa mapenzi yao wakiamini kuwa nitawaletea Maendeleo nikiwa ndani ya Chama Cha Chadema.
.Nafahamu tuhuma hizi zinatokana na aina ya utendaji wangu katika Jiji la Dar es Salaam kwani nimekuwa nikifanya kazi badala ya kupambana na serikali pale ambapo watu wanaamini kuwa mambo hayajaenda sawa.
Ndugu waandishi wa habari: Kukaa kwangu kimya huku ,kutokufanya siasa za kiharakati ndani ya jiji la Dar es Salaam haimanishi kwamba nipo upande wowote ama kukihujumu chama changu. Ila huu ni mfumo ambao nimeuchagua na kujijengea kwa ajili ya kuwatumikia wananchi nasio kufanya harakati za kisiasa kwakuwa nina nia ya kufanya maendeleo ndani ya jiji la Dar es Salaam.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA

Hivyo makala TAARIFA YA MEYA WA JIJI LA DAR ISAYA MWITA AKIKANUSHA KUHUSU KUDAIWA KUTAKA KUHAMA CHAMA CHA CHADEMA
yaani makala yote TAARIFA YA MEYA WA JIJI LA DAR ISAYA MWITA AKIKANUSHA KUHUSU KUDAIWA KUTAKA KUHAMA CHAMA CHA CHADEMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA YA MEYA WA JIJI LA DAR ISAYA MWITA AKIKANUSHA KUHUSU KUDAIWA KUTAKA KUHAMA CHAMA CHA CHADEMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/taarifa-ya-meya-wa-jiji-la-dar-isaya.html
0 Response to "TAARIFA YA MEYA WA JIJI LA DAR ISAYA MWITA AKIKANUSHA KUHUSU KUDAIWA KUTAKA KUHAMA CHAMA CHA CHADEMA"
Post a Comment