Loading...

Taasisi ya kijamii ya The Desk and Chair Foundation yatoa msaada wa kisima cha maji jijini Mwanza

Loading...
Taasisi ya kijamii ya The Desk and Chair Foundation yatoa msaada wa kisima cha maji jijini Mwanza - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Taasisi ya kijamii ya The Desk and Chair Foundation yatoa msaada wa kisima cha maji jijini Mwanza, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Taasisi ya kijamii ya The Desk and Chair Foundation yatoa msaada wa kisima cha maji jijini Mwanza
link : Taasisi ya kijamii ya The Desk and Chair Foundation yatoa msaada wa kisima cha maji jijini Mwanza

soma pia


Taasisi ya kijamii ya The Desk and Chair Foundation yatoa msaada wa kisima cha maji jijini Mwanza

 Na David John Mwanza .

TAASISI ya kijamii ya The Desk and Chair Foundation ya jijini Mwanza imetoa rai kwa Serikali kuwa na mawasiliano ya karibu ili kujuwa changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo watanzania hususani wenye uhitaji maalum.

Akizungumza na Mwandishi wa habari hizi Ofisini kwake jijini hapa Mwakilishi mkazi wa Taasisi hiyo hapa nchini yenye Makao yake Makuu nchini Uingereza Sibtain P.L Maghjee amesema kuwa taasisi yake inashughulika na matatizo ya watu hususani walemavu na hata jamii kwa ujumla.

Amesema kuwa changamoto kubwa wanayokutana nayo ni kukosekana kwa mawasiliano ya karibu kutoka Serikali ili kupata takwimu za watu au jamii yenye uhitaji. " Taasisi yetu imekuwa ikifanya kazi nyingi katika jamii ikiwamo kuchimba Visima pamoja na kusaidia Ambulence kwa ajili ya wagonjwa katika vituo vya afya. mbalimbali hapa nchini na zaidi vijijini "amesema Meghjee

Akizungumzia zaidi taasisi hiyo amesema mbali na huduma hizo lakini pia wamekuwa wakitoa mafunzo mbalimbali ya ufundi, wa aina mbalimbali kwa vijana ambapo mwisho wa siku wanajiajiri wenyewe. Amesema kuwa wao kama taasisi pia wanatengeneza Ambulence kwa kutumia mafundi hao ambao wanafundishwa kupitia Kalakana yao iliyopo Greenview eneo la Ghana jijini hapa.

Pia akizungumzia misaada wanayoitoa amewataka wananchi kutunza miundombinu hiyo hususani visima ambavyo wanakabidhiwa katika mikoa mbalimbali hapa nchini na kuvithamini. " Unajuwa Ndugu mwandishi lazima watu wajenge nidhamu ya kutunza na kuthamini vitu ambavyo wanapewa kwani kufanya hivyo kunawapa moyo hata watu wanaotoa. "amesema.

Amesema licha ya uchimbaji wa visima hivyo lakini pia taasisi imekuwa ikifanya mambo mbalimbali tangu kuazishwa kwaks mwaka 1979 hapa nchini na wametengeneza basikeli 30 kwa ajili ya walemavu ambazo zitakabidhiwa hivi karibuni.
Mwakilishi mkazi wa Shirika la The Desk and  Chair Foundation  Sbtain P.L Meghjee  (shati la drafti) akikabidhi kisima katika moja ya maeneo ambayo wametoa huduma hiyo hapa nchini . 


Hivyo makala Taasisi ya kijamii ya The Desk and Chair Foundation yatoa msaada wa kisima cha maji jijini Mwanza

yaani makala yote Taasisi ya kijamii ya The Desk and Chair Foundation yatoa msaada wa kisima cha maji jijini Mwanza Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Taasisi ya kijamii ya The Desk and Chair Foundation yatoa msaada wa kisima cha maji jijini Mwanza mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/taasisi-ya-kijamii-ya-desk-and-chair.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Taasisi ya kijamii ya The Desk and Chair Foundation yatoa msaada wa kisima cha maji jijini Mwanza"

Post a Comment

Loading...