Loading...

TANESCO: HITILAFU KWENYE GRIDI YA TAIFA ASUBUHI HII

Loading...
TANESCO: HITILAFU KWENYE GRIDI YA TAIFA ASUBUHI HII - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANESCO: HITILAFU KWENYE GRIDI YA TAIFA ASUBUHI HII, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANESCO: HITILAFU KWENYE GRIDI YA TAIFA ASUBUHI HII
link : TANESCO: HITILAFU KWENYE GRIDI YA TAIFA ASUBUHI HII

soma pia


TANESCO: HITILAFU KWENYE GRIDI YA TAIFA ASUBUHI HII

MAJIRA ya saa 7:20 leo hii Alhamisi Novemba 30, imetokea hitilafu kwenye Gridi ya Taifa na hivyo kusababisha umeme kukatika takriban kwenye mikoa yote iliyounganishwa kwenye Gridi hiyo.


Kwa mujibu wa Kaimu Meneja Uhusiano wa TANESCO, Bi. Leila Muhaji, mafundi na wataalamu wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO wameanza kufuatilia kujua chanzo chake hasa ni nini na taarifa Zaidi zitatolewa kila baada ya muda ili kuufahamisha umma na watuamiaji wa umeme.


Hivyo makala TANESCO: HITILAFU KWENYE GRIDI YA TAIFA ASUBUHI HII

yaani makala yote TANESCO: HITILAFU KWENYE GRIDI YA TAIFA ASUBUHI HII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANESCO: HITILAFU KWENYE GRIDI YA TAIFA ASUBUHI HII mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/tanesco-hitilafu-kwenye-gridi-ya-taifa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TANESCO: HITILAFU KWENYE GRIDI YA TAIFA ASUBUHI HII"

Post a Comment

Loading...