Loading...
title : TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA YA TANZANIA HEALTH SUMMIT.
link : TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA YA TANZANIA HEALTH SUMMIT.
TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA YA TANZANIA HEALTH SUMMIT.
Rais wa Chama cha watoa huduma za afya binafsi Dkt. Omary Chillo (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu kongamano la nne la kitaifa la afya, kushoto ni Katibu wa chama hicho Dkt. Rebeca John na kulia ni Afisa Tawala wa chama hicho Bw. Joseph Mhagama.
Afisa Tawala wa Chama cha watoa huduma za afya binafsi Bw. Joseph Mhagama akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu kongamano la nne la kitaifa la afya, katikati ni Rais wa chama hicho Dkt. Omary Chillo na kushoto ni Katibu wa chama hicho Dkt. Rebeca John.
Katibu wa Chama cha watoa huduma za afya binafsi Dkt. Rebeca John (kushoto) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu kongamano la nne la kitaifa la afya, katikati ni Rais wa chama hicho Dkt. Omary Chillo na kulia ni Afisa Tawala wa chama hicho Bw. Joseph Mhagama.
Picha na Eliphace Marwa - Maelezo
Hivyo makala TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA YA TANZANIA HEALTH SUMMIT.
yaani makala yote TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA YA TANZANIA HEALTH SUMMIT. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA YA TANZANIA HEALTH SUMMIT. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/tazama-matukio-katika-picha-ya-tanzania.html
0 Response to "TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA YA TANZANIA HEALTH SUMMIT."
Post a Comment