Loading...
title :
link :
TIMU ya waandishi wa habari wa mkoani Iringa imeingia kambini kujiwinda na mchezo wa fainal kati ya bingwa wa mashindano ya Spanest cup,mchezo huo utacheza katika uwanja wa Hifadhi ya Ruaha.
Wakizungumza na blog hii viongozi wa timu hiyo walisema wapo tayari kukabiliana na timu ya Itunundu maarufu kama sukari ya warembo.
Timu hii ya waandishi haijawahi kufungwa katika fainali yoyote ile hivyo Itunundu wajipange
Hivyo makala
yaani makala yote
Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/timu-ya-waandishi-wa-habari-wa-mkoani.html
0 Response to " "
Post a Comment