Loading...
title : TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YATEMBELEA MAKAZI YA WAZEE WASIOJIWEZA NA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA MKOANI SHINYANGA
link : TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YATEMBELEA MAKAZI YA WAZEE WASIOJIWEZA NA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA MKOANI SHINYANGA
TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YATEMBELEA MAKAZI YA WAZEE WASIOJIWEZA NA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA MKOANI SHINYANGA
Katibu Msaidizi Tume ya Kurekebisha Sheria Agnes Mgeyekwa akiongea na Wazee pamoja na wafanyakazi wa makazi ya wazee wasiojiweza ya Kolandoto yaliyopo katika manispaa ya Shinyanga wakati Tume ilipotembelea makazi hayo ikiwa ni sehemu ya Utafiti wa Mfumo wa Kisheria wa Huduma za Ustawi wa Jamii Tanzania.
Sehemu ya wazee wa Makazi ya Wazee wasiojiweza ya Kolandoto yaliopo katika Manispaa ya Shinyanga wakimsikiliza katibu Msaidzi Tume ya Kurekebisha Sheria Bi. Agnes Mgeyekwa.
Mkuu wa Makazi ya Wazee wasiojiweza ya Kolandoto katika manispaa ya Shinyanga Bi. Sophia Kang’ombe akisisitiza jambo wakati Tume ya Kurekebisha Sheria ilipotembelea makazi hayo wakati wa utafiti wa Mfumo wa Kisheria wa Huduma za Ustawi wa Jamii nchini.
Mhadhiri Msaidizi kutoka chuo cha Ustawi wa Jamii Bw. Paul Mwangosi akizungumza wakati Tume ya Kurekebisha Sheria ilipotembelea Makazi ya Wazee wasiojiweza ya Kolandoto.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YATEMBELEA MAKAZI YA WAZEE WASIOJIWEZA NA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA MKOANI SHINYANGA
yaani makala yote TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YATEMBELEA MAKAZI YA WAZEE WASIOJIWEZA NA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA MKOANI SHINYANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YATEMBELEA MAKAZI YA WAZEE WASIOJIWEZA NA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA MKOANI SHINYANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/tume-ya-kurekebisha-sheria-tanzania.html
0 Response to "TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YATEMBELEA MAKAZI YA WAZEE WASIOJIWEZA NA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA MKOANI SHINYANGA"
Post a Comment