Loading...

Ufungaji wa Mafunzo ya Udhibiti Usambaaji wa Mafuta Baharini Wafanyika Zanzibar.

Loading...
Ufungaji wa Mafunzo ya Udhibiti Usambaaji wa Mafuta Baharini Wafanyika Zanzibar. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ufungaji wa Mafunzo ya Udhibiti Usambaaji wa Mafuta Baharini Wafanyika Zanzibar., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ufungaji wa Mafunzo ya Udhibiti Usambaaji wa Mafuta Baharini Wafanyika Zanzibar.
link : Ufungaji wa Mafunzo ya Udhibiti Usambaaji wa Mafuta Baharini Wafanyika Zanzibar.

soma pia


Ufungaji wa Mafunzo ya Udhibiti Usambaaji wa Mafuta Baharini Wafanyika Zanzibar.

Naibu Katibu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Shomari O,Shomari kulia akitoa hotuba ya ufunguaji wa  mafunzo ya  Udhibiti  Usambaaji wa mafuta yaliomwagika Baharini yaliochukua muda wa siku Tatu hafla iliofanyika  Hoteli ya Marumaru Forodhani mjini Unguja.
Naibu Katibu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Shomari O,Shomari kulia akimkabidhi cheti cha Ushiriki wa mafunzo ya Udhibiti  Usambaaji wa mafuta yaliomwagika Baharini Injinia Mratibu wa maswala ya Mazingira Baharini kutoka ZMA Halfani Hamad Hassan katika ufungaji wa mafunzo hayo katika Hoteli ya Marumaru Forodhani mjini Unguja.
Eng.Mratibu wa maswala ya Mazingira Baharini kutoka ZMA Halfani Hamad Hassan kulia akitoa maelezo kuhusiana na zoezi la vitendo la Udhibiti wa Usambaaji wa mafuta yaliomwagika Baharini katika Mkutano wa kufunga mafunzo hayo uliofanyika Hoteli ya Marumaru Forodhani mjini Unguja.
Mkuu wa Kituo cha Huduma za Dharura Norwey Helge Munkas Andersen akijibu baadhi ya maswala yalioulizwa katika Mkutano wa  Ufungaji  mafunzo ya  Udhibiti  Usambaaji wa mafuta yaliomwagika Baharini  uliofanyika Hoteli ya Marumaru Forodhi mjini Unguja.
Mkuu wa Kituo cha Huduma za Dharura Norwey Helge Munkas Andersen kushoto akionesha namna ya zoezi zima la mafunzo ya  Udhibiti  Usambaaji wa mafuta yaliomwagika Baharini katika Mkutano wa kufunga mafunzo hayo uliofanyika Hoteli ya Marumaru Forodhani mjini Unguja.


Hivyo makala Ufungaji wa Mafunzo ya Udhibiti Usambaaji wa Mafuta Baharini Wafanyika Zanzibar.

yaani makala yote Ufungaji wa Mafunzo ya Udhibiti Usambaaji wa Mafuta Baharini Wafanyika Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ufungaji wa Mafunzo ya Udhibiti Usambaaji wa Mafuta Baharini Wafanyika Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/ufungaji-wa-mafunzo-ya-udhibiti_23.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ufungaji wa Mafunzo ya Udhibiti Usambaaji wa Mafuta Baharini Wafanyika Zanzibar."

Post a Comment

Loading...