Loading...
title : UMEME MEGAWATI 30 KUINGIZWA KWENYE GRIDI YA TAIFA DESEMBA 7, 2017, NI KUTOKANA NA KASI YA UJENZI WA MITAMBO KINYEREZI II
link : UMEME MEGAWATI 30 KUINGIZWA KWENYE GRIDI YA TAIFA DESEMBA 7, 2017, NI KUTOKANA NA KASI YA UJENZI WA MITAMBO KINYEREZI II
UMEME MEGAWATI 30 KUINGIZWA KWENYE GRIDI YA TAIFA DESEMBA 7, 2017, NI KUTOKANA NA KASI YA UJENZI WA MITAMBO KINYEREZI II
WAKANDARASI wa Shirika la Umeme Tanzania, (TANESCO) na wale wa kigeni, wakiendelea kuchapa kazi leo Novemba 25, 2017 ili kukamilisha hatua ya kwanza ya ujenzi wa mitambo Kinyerezi II jijini Dar es Salaam, ambapo kwa mujibu wa Kaimu Meneja Uhusiano wa TANESCO, Bi. Leila Muhaji, kasi ya ujenzi inaridhisha na kwamba katika hatua hiyo ya kwanza TANESCO inatarajia kuingiza kiasi cha umeme Megawati 30 kwenye Gridi ya Taifa ifikapo Desemba 7, 2017 na hivyo kuongeza kiasi cha umeme katika safari ya kupata umeme wa uhakika na wakutosha kwenye ujezni wa uchumi wa Viwanda.
Hivyo makala UMEME MEGAWATI 30 KUINGIZWA KWENYE GRIDI YA TAIFA DESEMBA 7, 2017, NI KUTOKANA NA KASI YA UJENZI WA MITAMBO KINYEREZI II
yaani makala yote UMEME MEGAWATI 30 KUINGIZWA KWENYE GRIDI YA TAIFA DESEMBA 7, 2017, NI KUTOKANA NA KASI YA UJENZI WA MITAMBO KINYEREZI II Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UMEME MEGAWATI 30 KUINGIZWA KWENYE GRIDI YA TAIFA DESEMBA 7, 2017, NI KUTOKANA NA KASI YA UJENZI WA MITAMBO KINYEREZI II mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/umeme-megawati-30-kuingizwa-kwenye.html
0 Response to "UMEME MEGAWATI 30 KUINGIZWA KWENYE GRIDI YA TAIFA DESEMBA 7, 2017, NI KUTOKANA NA KASI YA UJENZI WA MITAMBO KINYEREZI II"
Post a Comment