Loading...

UTEPE MWEUPE WATOA WAKUTANA NA WADAU

Loading...
UTEPE MWEUPE WATOA WAKUTANA NA WADAU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UTEPE MWEUPE WATOA WAKUTANA NA WADAU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UTEPE MWEUPE WATOA WAKUTANA NA WADAU
link : UTEPE MWEUPE WATOA WAKUTANA NA WADAU

soma pia


UTEPE MWEUPE WATOA WAKUTANA NA WADAU



 Rose Mlay Mratibu wa Taifa wa Utepe Mweupe White Ribbon Alliance for Safe Motherhood Tanzania (WRATZ) akifafanua jambo wakati alipokuwa akitoa mada katika Warsha hiyo iliyojadili mambo mbalimbali yanayohusu kupunguza vifo vya akina mama wakati wa kujifungua na salama kwa mama na mtoto nchini.
Mwambawahabari
Jamii imehimizwa  kumpeleka mzazi kwenda  kwenye vituo vya Afya  ambavyo vina wataalamu ,kwani hatua hiyo ndio  njia ya kusaidia kuondokana vifo hivyo,huku Sseri8kali ikitakiwa kongeza bajeti katika Wizara ya Afya upande wa  afya ya Mama na mtoto.
Hayo yamesemwa leo na  Mratibu Taifa wa Muungano wa UtepeMweupe na Uzazi Salama, Rose Mlay,  wakati wa mkutano wa wadau wakati wa Mkutano wa Wadau wa Afya na Mama na Mtoto uliofanyika leo jijini Dar es Salaam, amesema kuwa kupoteza mtoto na mama ni ajali ambayo inatokana na kukosekana kwa huduma sahihi wakati wa kujifungua.
Amesema  mkutano wadau ni pamoja na kujadili takwimu za Afya ya Mama na Mtoto pamoja na kuweka mikakati ya kupunguza vifo vya uzazi.
Ameongeza kuwa kwa sasa vifo vya wakina Mama vimeongezeka kutoka kwa vifo 24 vya wakinamama kwa siku hadi kufikia vifo 30 kwa siku huku akisema ongezeko hilo limechangiwa na wakina Mama kujifungulia sehemu zisizo salama,
“Ripoti inaonyesha vifo vinaongezeka  kutokana na kukosekana  kwa  vituo vya afya vyenye pamoja  na wataamu kama nyumbani na kwenye vituo visivyo na watalaamu,unakuta sehemu  hakuna vifaa vya kumsaidia Mama ili aweze kujifungua salama,na hii inasababisha vifo hivi kuongekezeka”
“.Amesema jamii kama ingekuwa inampeleka Mzazi kwenye vituo vya afya vyenye ubora  basi vifo hivi vingepungua ikiwezekana kumalizika kabisa”Amesema Mlay.
Mlay amesema  Takwimu za hapo awali zilionyesha kuwa takribaniwanawake 8000 hufaliki kila mwaka kwa sababu ya Matatizo  yanayotokana na Mimba na Uzazi lakini  Takwimu hizo zimeongekeza hadi kufikia zaidia ya elfu 10 kwa  mwaka .
Nao baadhi ya  Wadau mbalimbali waliokuwepo kwenye semina hiyo  ,wameitaka serikali kuhakikisha inaongeza bajeti kwenye sekta ya Afya ambayo itavisaidia kwenye vituo vya Afya kuwepo kwa wakunga wenye welevu na ujuzi ambao watasaidia kupunguza vifo hivo.


Hivyo makala UTEPE MWEUPE WATOA WAKUTANA NA WADAU

yaani makala yote UTEPE MWEUPE WATOA WAKUTANA NA WADAU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UTEPE MWEUPE WATOA WAKUTANA NA WADAU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/utepe-mweupe-watoa-wakutana-na-wadau.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UTEPE MWEUPE WATOA WAKUTANA NA WADAU"

Post a Comment

Loading...