Loading...

WAGONJWA WA MELI YA MAKONDA SASA KUTIBU WA CHINA

Loading...
WAGONJWA WA MELI YA MAKONDA SASA KUTIBU WA CHINA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAGONJWA WA MELI YA MAKONDA SASA KUTIBU WA CHINA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAGONJWA WA MELI YA MAKONDA SASA KUTIBU WA CHINA
link : WAGONJWA WA MELI YA MAKONDA SASA KUTIBU WA CHINA

soma pia


WAGONJWA WA MELI YA MAKONDA SASA KUTIBU WA CHINA





 Rc Makonda akisalimiana na baadhi ya wagonjwa walifuka na kupatiwa huduma ya matibabu katika Meli ya China katika bandari ya  jijini Dar es Salaam
Hawa ni Baadhi ya wagonjwa ambao tayari wamekwishapatiwa huduma 

Mwambawahabari Zoezi la Upimaji wa Afya na Matibabu Bure Ndani ya Meli ya Jeshi la Jamuhuri ya Watu wa China Leo limeingia Siku ya Pili ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. PAUL MAKONDA amesema Wagonjwa ambao wataonekana kuwa na Hali mbaya watasafirishwa kutibiwa Bure Nchini China.

 MAKONDA amesema Ofisi yake itaratibu utaratibu wa Hati za Kusafiria (Passport) ili kuhakikisha Wagonjwa wanapatiwa Matibabu ili kuokoa Maisha yao.

Aidha amesema Wagonjwa Wanaopangiwa kulazwa kwenye Meli hiyo yenye Vitanda vya Wagonjwa zaidi ya 300 wanapatiwa huduma za Malazi Bure ikiwemo Chakula, Vinywaji, Mavazi.

Aidha MAKONDA amekemea tabia ya baadhi ya Watu wanaochukuwa Kadi za Matibabu kisha kuziuza kwa Watu.

MAKONDA amesema kasi ya utoaji wa huduma  ni nzuri hivyo anaamini hadi siku ya Mwisho ya Zoezi la Upimaji Wananchi wote waliopatiwa namba watakuwa wamehudumiwa.

Katika kuongeza nguvu kasi ya Upimaji Madaktari kutoka JWTZ,  Muhimbili na Hospital za mkoa wa Dar es salaam Ikiwemo Amana,  Temeke na Mwananyamala wanashirikiana na Madaktari wa China katika kutoa huduma.


Hivyo makala WAGONJWA WA MELI YA MAKONDA SASA KUTIBU WA CHINA

yaani makala yote WAGONJWA WA MELI YA MAKONDA SASA KUTIBU WA CHINA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAGONJWA WA MELI YA MAKONDA SASA KUTIBU WA CHINA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/wagonjwa-wa-meli-ya-makonda-sasa-kutibu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAGONJWA WA MELI YA MAKONDA SASA KUTIBU WA CHINA"

Post a Comment

Loading...