Loading...
title : WANANCHI WAFURIKA KUPATA TIBA KWA WA CHINA, RC MAKONDA, AWATIA MOYO
link : WANANCHI WAFURIKA KUPATA TIBA KWA WA CHINA, RC MAKONDA, AWATIA MOYO
WANANCHI WAFURIKA KUPATA TIBA KWA WA CHINA, RC MAKONDA, AWATIA MOYO
Rc Makonda akizungumza na wananchi waliojitokeza katika zoezi la Upimaji wa afya na matibabu bure yaliyoanza leo jijini Dar es SalaamPicha zikionyesha maelfu ya wakazi wa Dar walivyofurika katika Zoezi la kupima afya.
Mwambawahabari Maelfu ya Wananchi wa Dar es Salaam Leo wamejitokeza kwa wingi kuchangamkia fursa ya Upimaji na Matibabu Bure ndani ya Meli ya Jeshi la Jamuhuri ya China ambapo katika Hali isiyotarajiwa Wananchi kutoka Mikoani na Nje ya Jumuiya ya Africa Mashariki wamesafiri kuja kufuata huduma hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. PAUL MAKONDA amewatembelea wananchi hao na kusema kila atakaefika na kupatiwa kadi atapatiwa vipimo, matibabu na dawa Bure na kuwaasa wananchi kutimia vyema fursa hiyo.
MAKONDA amesema Madaktari wengine wa China wanaendelea na huduma za matibabu kwenye Hospital za Muhimbili, MOI, Ocean Road, Mwananyamala, Amana na Temeke* ili kuhakikisha wanahudumia idadi kubwa ya Wananchi.
Amesema hadi kufikia majira ya mchana tayari Wagonjwa 516 walikuwa wamepimwa na kupatiwa Matibabu jambo linaloonyesha kuwa wananchi wote watapatiwa huduma.
MAKONDA amesema wapo madaktari bingwa maalumu waliobobea kwa kutoa dawa za kichina kwa wale wagonjwa ambao dawa nyingine zimekuwa zikishindwa kutibu.
Amesema lengo ni kuhakikisha Hakuna mtu anaepoteza maisha kwa kigezo cha kukosa huduma au kumudu gharama.
Hivyo makala WANANCHI WAFURIKA KUPATA TIBA KWA WA CHINA, RC MAKONDA, AWATIA MOYO
yaani makala yote WANANCHI WAFURIKA KUPATA TIBA KWA WA CHINA, RC MAKONDA, AWATIA MOYO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI WAFURIKA KUPATA TIBA KWA WA CHINA, RC MAKONDA, AWATIA MOYO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/wananchi-wafurika-kupata-tiba-kwa-wa.html
0 Response to "WANANCHI WAFURIKA KUPATA TIBA KWA WA CHINA, RC MAKONDA, AWATIA MOYO"
Post a Comment