Loading...

WASANII 20 WAKATWA KWENYE FIESTA DAR.

Loading...
WASANII 20 WAKATWA KWENYE FIESTA DAR. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WASANII 20 WAKATWA KWENYE FIESTA DAR., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WASANII 20 WAKATWA KWENYE FIESTA DAR.
link : WASANII 20 WAKATWA KWENYE FIESTA DAR.

soma pia


WASANII 20 WAKATWA KWENYE FIESTA DAR.

Mwambawahabari
Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, Alhamisi hii katika kipindi cha Clouds360, amesema amepunguza wasanii 20 katika list ya wasanii ambao walipanga kuwepo kwenye show ya tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika Jumamosi hii katika viwanjwa Leaders Club.

Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba

Ruge alisema miongoni mwa wasanii hao walioondolewa kisa muda ni pamoja na Lulu Diva, Zaiid, pamoja na ChinBeez. 

‘’Tulikaa kama kamati jana tunatumia nguvu kubwa mno kwenye suala la muda wakati tuna shoo kubwa iliyokamilika, kwahiyo tumeamua kuachana na suala la muda,tumeamua tukae kwenye muda tulioupanga sisi na kuhakikisha tuna ‘six hours’ za entertainment ambazo zimepangwa na kupangika,” alisema Ruge. 

Aliongeza, “Kitakachokosekana ni wale wasanii zaidi ya 20, kama, Bright, Mimi Mars,Lulu Diva, Zaiidyao, ChinBeez,hao bahati mbaya ni lazima tuwaondoe kwa sababu ya ratiba kubana kutokana na muda, tungeweza kuwaingiza lakini hatuna muda’


Hivyo makala WASANII 20 WAKATWA KWENYE FIESTA DAR.

yaani makala yote WASANII 20 WAKATWA KWENYE FIESTA DAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WASANII 20 WAKATWA KWENYE FIESTA DAR. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/wasanii-20-wakatwa-kwenye-fiesta-dar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WASANII 20 WAKATWA KWENYE FIESTA DAR."

Post a Comment

Loading...