Loading...

WATEJA WA VODACOM NA TECNO WALETEWA PHANTOM 8 MSIMU WA SIKUKUU

Loading...
WATEJA WA VODACOM NA TECNO WALETEWA PHANTOM 8 MSIMU WA SIKUKUU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATEJA WA VODACOM NA TECNO WALETEWA PHANTOM 8 MSIMU WA SIKUKUU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATEJA WA VODACOM NA TECNO WALETEWA PHANTOM 8 MSIMU WA SIKUKUU
link : WATEJA WA VODACOM NA TECNO WALETEWA PHANTOM 8 MSIMU WA SIKUKUU

soma pia


WATEJA WA VODACOM NA TECNO WALETEWA PHANTOM 8 MSIMU WA SIKUKUU

 Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Jacquiline Materu (kushoto) na Mkuu wa maduka ya rejareja wa kampuni hiyo, Brigita Stephan (kulia) wakimsikiliza Afisa Mawasiliano wa Tecno, Eric Mkomoye akiongea na waandishi wa habari na kuwaonesha simu aina ya Tecno Phantom 8, Wakati wa uzinduzi wa simu hiyo kwa kushirikiana na  Vodacom ambapo simu hiyo inaambatana na ofa ya kifurushi cha 5GB, SMS 300 pamoja na dakika 300 kwenda mitandao yote na  inapatikana katika maduka yote ya kampuni hizo kwa bei nafuu.
 Mkuu wa matukio wa Tecno,Anuj Khosua(kushoto) Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Jacquiline Materu(wapili kushoto)na Mkuu wa maduka ya rejareja wa Vodacom, Brigita Stephan pamoja na Afisa Mawasiliano wa Tecno, Eric Mkomoye wakionesha simu aina ya Tecno Phantom 8, Wakati wa uzinduzi wa simu hizo  kwa kushirikiana na  Vodacom ambapo simu hizo zinaambatana na ofa ya kifurushi cha 5GB, SMS 300 pamoja na dakika 300 kwenda mitandao yote na  inapatikana katika maduka yote ya kampuni hizo kwa bei nafuu.
 Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Jacquiline Materu(kushoto) na Afisa Mawasiliano wa Tecno,Eric Mkomoye,wakimpongeza mwaandishi wa habari baada ya kubahatika kushinda simu aina ya Tecno Phantom 8, Wakati wa uzinduzi wa simu hizo  kwa kushirikiana na  Vodacom ambapo simu hizo zinaambatana na ofa ya kifurushi cha 5GB, SMS 300 pamoja na dakika 300 kwenda mitandao yote na  inapatikana katika maduka yote ya kampuni hizo kwa bei nafuu.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania na Tecno wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi wa simu aina ya Tecno Phantom 8 ambapo simu hizo zinaambatana na ofa ya kifurushi cha 5GB, SMS 300 pamoja na dakika 300 kwenda mitandao yote na  inapatikana katika maduka yote ya kampuni hizo kwa bei nafuu.


Hivyo makala WATEJA WA VODACOM NA TECNO WALETEWA PHANTOM 8 MSIMU WA SIKUKUU

yaani makala yote WATEJA WA VODACOM NA TECNO WALETEWA PHANTOM 8 MSIMU WA SIKUKUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATEJA WA VODACOM NA TECNO WALETEWA PHANTOM 8 MSIMU WA SIKUKUU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/wateja-wa-vodacom-na-tecno-waletewa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATEJA WA VODACOM NA TECNO WALETEWA PHANTOM 8 MSIMU WA SIKUKUU"

Post a Comment

Loading...