Loading...
title : Watu 6 Mbaroni Kwa Kukutwa na Nyaya za Umeme Mali ya TANESCO
link : Watu 6 Mbaroni Kwa Kukutwa na Nyaya za Umeme Mali ya TANESCO
Watu 6 Mbaroni Kwa Kukutwa na Nyaya za Umeme Mali ya TANESCO
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dsm mnamo tarehe 07/11/2017 huko maeneo ya Tegeta IPTL lilifanikiwa kukamata gari lenye namba za usajili T. 897 ARF aina ya FUSSO likiwa limebeba nyaya za umeme Roller/Drum 05 zikiwa ndani ya gari hilo.
Aidha dereva wa gari hilo aliwaelekeza askari watuhumiwa wenzake na baada ya upekuzi zilikamatwa Roller/drum 02, mashine ya kupaka, rangi na makopo Mmatatu (3)matupu ya rangi yaliyotumika kubadilisha uhalisia wa Roller/drum, zote zilikutwa kwa mtu aitwaye ZAWAKO KASIBA na mke wake, mkazi wa IPTL Tegeta na watuhumiwa wengine wanne.
Watuhumiwa wote wamekamatwa na mawasiliano yalifanyika na Shirika la umeme (TANESCO) na walifika kuzitambua nyaya hizo na kugundua kuwa ni mali za Shirika ambazo ni DRUM 07 zikiwa na mita 21,000 zenye thamani ya Tsh Milioni 70.7
Jumla ya watuhumiwa sita wamekamatwa kuhusiana na tukio hilo akiwemo mwanamke mmoja.
Watuhumiwa wanaendelea kuhojiwa ili kubaini mtandao mzima wa watu wanaotuhumiwa kuhujumu miundo mbinu ya TANESCO.
Hivyo makala Watu 6 Mbaroni Kwa Kukutwa na Nyaya za Umeme Mali ya TANESCO
yaani makala yote Watu 6 Mbaroni Kwa Kukutwa na Nyaya za Umeme Mali ya TANESCO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Watu 6 Mbaroni Kwa Kukutwa na Nyaya za Umeme Mali ya TANESCO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/watu-6-mbaroni-kwa-kukutwa-na-nyaya-za.html
0 Response to "Watu 6 Mbaroni Kwa Kukutwa na Nyaya za Umeme Mali ya TANESCO"
Post a Comment