Loading...
title : YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA NOVEMBA 14, 2017
link : YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA NOVEMBA 14, 2017
YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA NOVEMBA 14, 2017
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Tulia Ackson akitoa majibu ya miongozo mbalimbali ya wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa kikao cha sita cha Bunge hilo leo Mkoani Dodoma.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dk Ndugulile akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa Mkutano wa tisa kikao cha sita cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Dodoma.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dk. Harrison Mwakyembe akisoma kauli yake kuhusu fursa kwa wasichana kujipima uwezo katika riadha ili waweze kuiwakilisha nchi katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Jumuiya ya Madola, Olimpiki, All-African games na mengineyo leo Bungeni mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akiteta jambo na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Jumaa Aweso wakati wa Mkutano wa tisa kikao cha sita cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe.Dk. Mary Mwanjelwa wakati wa Mkutano wa tisa kikao cha sita cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Dodoma.
Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.
Hivyo makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA NOVEMBA 14, 2017
yaani makala yote YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA NOVEMBA 14, 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA NOVEMBA 14, 2017 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/yaliyojiri-leo-bungeni-mjini-dodoma.html
0 Response to "YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA NOVEMBA 14, 2017"
Post a Comment