Loading...

Zanzibar Press Club Yatoa Mkono wa Pole kwa Kifo cha Mwanachama Wake

Loading...
Zanzibar Press Club Yatoa Mkono wa Pole kwa Kifo cha Mwanachama Wake - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Zanzibar Press Club Yatoa Mkono wa Pole kwa Kifo cha Mwanachama Wake, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Zanzibar Press Club Yatoa Mkono wa Pole kwa Kifo cha Mwanachama Wake
link : Zanzibar Press Club Yatoa Mkono wa Pole kwa Kifo cha Mwanachama Wake

soma pia


Zanzibar Press Club Yatoa Mkono wa Pole kwa Kifo cha Mwanachama Wake

Kwa niaba ya uongozi wa Zanzibar Press Club na wanachama wake wote tumepokea kwa mshtuko taarifa za ghafla za kifo cha muandishi mwenzetu Maridadi Amani, tunatowa Pole kwa Familia yake kwa kuondokewa na Pole pia kwa MKURUGENZI WA ZBC na wafanyakazi wote WA ZBC pamoja na waandishi WA Habari WA Zanzibar. Tunamuombea Nd.Maridadi Allah ampe safari ya wepesi kaburi lake liwe miongoni mwa bustani za Peponi na Allah amjaalie Makaazi mema kwa kutukutanisha pamoja katika Pepo ya Firdaus na Mtume wetu Muhammad (S.A.W) na kama ilivyo ada tunasema INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUUN BY CP-ZPC ABDALLA. A.MFAUME


Hivyo makala Zanzibar Press Club Yatoa Mkono wa Pole kwa Kifo cha Mwanachama Wake

yaani makala yote Zanzibar Press Club Yatoa Mkono wa Pole kwa Kifo cha Mwanachama Wake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Zanzibar Press Club Yatoa Mkono wa Pole kwa Kifo cha Mwanachama Wake mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/zanzibar-press-club-yatoa-mkono-wa-pole.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Zanzibar Press Club Yatoa Mkono wa Pole kwa Kifo cha Mwanachama Wake"

Post a Comment

Loading...