Loading...

bei mpya ya mafuta Zanzibar kwa mwezi wa Disemba kuanzia kesho

Loading...
bei mpya ya mafuta Zanzibar kwa mwezi wa Disemba kuanzia kesho - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa bei mpya ya mafuta Zanzibar kwa mwezi wa Disemba kuanzia kesho, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : bei mpya ya mafuta Zanzibar kwa mwezi wa Disemba kuanzia kesho
link : bei mpya ya mafuta Zanzibar kwa mwezi wa Disemba kuanzia kesho

soma pia


bei mpya ya mafuta Zanzibar kwa mwezi wa Disemba kuanzia kesho

Kaimu Mkurugenzi masuala ya wateja wa Mamlaka ya udhibitiwa huduma wa nishati na maji(ZURA) Mussa Ramadhani Haji akizungumza na waandishi wa habari huko ofisini Maisara Zanzibar.(Picha na Kijakazi Abdalla Maelezo Zanzibar.)

MAMLAKA ya udhibiti wa huduma za nishati na maji Zanzibar (ZURA) imetoa taarifa juu ya bei mpya ya mafuta itakayoanza kutumika rasmi kuanzia kesho Jumanne tarehe 12-12-2017. Akizungumza na waandishi wa habari huko ofisini kwake Maisara, Kaimu Mkurugenzi masuala ya wateja, Mussa Ramadhani Haji  alisema kuwa bei hizo Zura imepanga kufuatia mambo yafuatayo;-

Wastani wa mwenendo wa mabadiliko ya bei za mafuta Duniani (Platts Quatations) katika mwezi wa Novemba 2017 , kwa lengo la kupata kianzio cha kufanyia mabadiliko ya bei za mafuta kwa mwezi wa Disemba 2017.

Pia thamani ya shillingi ya  Tanzania , gharama za usafiri , Bima na’ Premium ‘hadi Zanzibar  . Kodi za serikali  na kiwango cha faida kwa wauzaji wa jumla na rejareja.

Alisema bei za rejereja ya mafuta ya Petroli kwa mwezi wa Disemba, 2017 imepanda kwa shillingi (100) kwa lita kutoka shilling 2,130 Mwezi wa Novemba , 2017 hadi shilling 2,230 kwa lita katika mwezi wa Disemba , 2017 sawa na ongezeko la asilimia 4.5%.

Pia alisema bei ya rejereja ya mafuta ya Dizeli kwa Mwezi wa Disemba , 2017 imeshuka kwa shilling (90) kwa lita kutoka shilling 2,280 kwa lita katika mwezi Novemba hadi shilling 2,190 kwa lita katika mwezi wa Disemba, 2017 sawa na  asilimia 4%.

Aidha alisema bei ya reja reja ya mafuta ya Taa kwa mwezi wa Disemb 2017 imepanda kwa shilling (80)  kwa lita kutoka shillingi 1.539 kwa lita katika mwezi wa Novemba , 2017 hadi shilling 1,619 katika mwezi wa Disemba , 2017 sawa na ongezeko la asilimia 4.9%

Vilevile bei ya reja reja ya mafuta ya Banka kwa mwezi waDisemba,  2017 imeshuka kwa shilling (90) kwa lita kutoka shillingi 2,122 kwa lita katika mwezi wa Novemba, 2017 hadi shilling 2,032 katika mwezi wa Disemba , 2017 sawa na ongezeko la asilimia 4.4%.


Hivyo makala bei mpya ya mafuta Zanzibar kwa mwezi wa Disemba kuanzia kesho

yaani makala yote bei mpya ya mafuta Zanzibar kwa mwezi wa Disemba kuanzia kesho Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala bei mpya ya mafuta Zanzibar kwa mwezi wa Disemba kuanzia kesho mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/bei-mpya-ya-mafuta-zanzibar-kwa-mwezi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "bei mpya ya mafuta Zanzibar kwa mwezi wa Disemba kuanzia kesho"

Post a Comment

Loading...