Loading...
title : BENKI YA CBA TANZANIA YAZINDUA VISA CARD MPYA MAHUSUSI KWA WATEJA WAKE MSIMU WA SIKUKUU
link : BENKI YA CBA TANZANIA YAZINDUA VISA CARD MPYA MAHUSUSI KWA WATEJA WAKE MSIMU WA SIKUKUU
BENKI YA CBA TANZANIA YAZINDUA VISA CARD MPYA MAHUSUSI KWA WATEJA WAKE MSIMU WA SIKUKUU
Mkurugenzi wa Mkuu Mtendaji wa Benki ya CBA Tanzania,Gifty Shoka (kushoto)akimkabidhi VISA Card mpya ya benki hiyo Mkurugenzi wa mauzo na masoko wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,Seraphin Lusala wakati wa hafla ya uzinduzi wa kadi hiyo itakayowawezesha wateja wa benki hiyo kufanya manunuzi mbalimbali kwa kipindi hiki cha Sikukuu,Wanaoshuhudia ni baadhi ya wateja wa benki hiyo, Nursiye Marhoon na Majda Mohamed.
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya CBA Tanzania, Gifty Shoka akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa kitengo cha huduma kwa wateja wa benki hiyo,Hyasinta Mwimanzi wakiongea na wateja wa benki hiyo jijini Dar es Salaam, Nursiye Marhoon na Majda Mohamed wakati wa hafla ya uzinduzi wa VISA Card mpya ya ambayo itawawezesha wateja wa benki hiyo kufanya manunuzi mbalimbali kipindi hiki cha Sikukuu.
Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya CBA Tanzania,wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa hafla ya uzinduzi wa VISA Card mpya ya benki hiyo itakayo wawezesha wateja wa benki hiyo kufanya manunuzi mbalimbali kipindi hiki cha Sikukuu.
Hivyo makala BENKI YA CBA TANZANIA YAZINDUA VISA CARD MPYA MAHUSUSI KWA WATEJA WAKE MSIMU WA SIKUKUU
yaani makala yote BENKI YA CBA TANZANIA YAZINDUA VISA CARD MPYA MAHUSUSI KWA WATEJA WAKE MSIMU WA SIKUKUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA CBA TANZANIA YAZINDUA VISA CARD MPYA MAHUSUSI KWA WATEJA WAKE MSIMU WA SIKUKUU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/benki-ya-cba-tanzania-yazindua-visa.html
0 Response to "BENKI YA CBA TANZANIA YAZINDUA VISA CARD MPYA MAHUSUSI KWA WATEJA WAKE MSIMU WA SIKUKUU"
Post a Comment