Loading...
title : CHALAMILA MWENYEKITI MPYA WA CCM MKOA WA IRINGA, SALIM ABRI "ASAS" ACHUKUA UJUMBE WA (NEC) TAIFA KWA KISHINDO
link : CHALAMILA MWENYEKITI MPYA WA CCM MKOA WA IRINGA, SALIM ABRI "ASAS" ACHUKUA UJUMBE WA (NEC) TAIFA KWA KISHINDO
CHALAMILA MWENYEKITI MPYA WA CCM MKOA WA IRINGA, SALIM ABRI "ASAS" ACHUKUA UJUMBE WA (NEC) TAIFA KWA KISHINDO
Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila akitoa hotuba yake ya kwanza kuwashukuru wapiga kura mara baada ya kushinda uchaguzi huo uliofanyika kwenye ukumbi wa Kichangani mjini Iringa leo akiwashinda wapinzani wake wawili Bw. Evance Balama na Salim Abri ambaye amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC mkoa wa Iringa.
Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila akitoa hotuba yake ya kwanza kuwashukuru wapiga kura na kuelezea Dira na Mwelekeo wa Uongozi wake mara baada ya kushinda uchaguzi huo uliofanyika kwenye ukumbi wa Kichangani mjini Iringa, katikati ni Salim Abri ambaye amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) mkoa wa Iringa na kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi huo Mh. Januari Makamba.
Bw. Salim Abri Mjumbe mpya wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) mkoa wa Iringa katika uchaguzi huo akiwashukuru wapiga kura mara baada ya kutangazwa mshindi kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi huo Mh. Januari Makamba na kulia ni Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila
Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila kulia na Bw. Salim Abri Mjumbe mpya wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) mkoa wa Iringa wakiwashukuru wana CCM mkoa wa Iringa kwa kuwaamini na kuwapa ridhaa ya kukiongoza chama hicho.
Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila kuli na Bw. Salim Abri Mjumbe mpya wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) mkoa wa Iringa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutangazwa washindi katika uchaguzi huo.
Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila na Bw. Salim Abri Mjumbe mpya wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC mkoa wa Iringa wakiwa wakii.furahi paoja na wapiga kura mara baada ya kutangazwa washindi.
Hivyo makala CHALAMILA MWENYEKITI MPYA WA CCM MKOA WA IRINGA, SALIM ABRI "ASAS" ACHUKUA UJUMBE WA (NEC) TAIFA KWA KISHINDO
yaani makala yote CHALAMILA MWENYEKITI MPYA WA CCM MKOA WA IRINGA, SALIM ABRI "ASAS" ACHUKUA UJUMBE WA (NEC) TAIFA KWA KISHINDO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CHALAMILA MWENYEKITI MPYA WA CCM MKOA WA IRINGA, SALIM ABRI "ASAS" ACHUKUA UJUMBE WA (NEC) TAIFA KWA KISHINDO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/chalamila-mwenyekiti-mpya-wa-ccm-mkoa.html
0 Response to "CHALAMILA MWENYEKITI MPYA WA CCM MKOA WA IRINGA, SALIM ABRI "ASAS" ACHUKUA UJUMBE WA (NEC) TAIFA KWA KISHINDO"
Post a Comment