Loading...

DC LYANIVA AHIMIZA ULIPAJI KODI, ULINZI NA USALAMA, AWATAKA WANANCHI KUSHEREHEKEA MWAKAMPYA KWA AMANI.

Loading...
DC LYANIVA AHIMIZA ULIPAJI KODI, ULINZI NA USALAMA, AWATAKA WANANCHI KUSHEREHEKEA MWAKAMPYA KWA AMANI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC LYANIVA AHIMIZA ULIPAJI KODI, ULINZI NA USALAMA, AWATAKA WANANCHI KUSHEREHEKEA MWAKAMPYA KWA AMANI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC LYANIVA AHIMIZA ULIPAJI KODI, ULINZI NA USALAMA, AWATAKA WANANCHI KUSHEREHEKEA MWAKAMPYA KWA AMANI.
link : DC LYANIVA AHIMIZA ULIPAJI KODI, ULINZI NA USALAMA, AWATAKA WANANCHI KUSHEREHEKEA MWAKAMPYA KWA AMANI.

soma pia


DC LYANIVA AHIMIZA ULIPAJI KODI, ULINZI NA USALAMA, AWATAKA WANANCHI KUSHEREHEKEA MWAKAMPYA KWA AMANI.


Na John Luhende
mwambawahabari
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Felix Lyaniva, amewataka wananchi na wafanyabiashara wa Manispaa hiyo kuendelea kulipa kodi ili kuweza kufanikisha miradi ya maendeleo inayoendeshwa na Manispaa.

Akizungumza na wanahabari ofisini kwake Mhe. Lyaniva amewataka wafanyabiashara wote ambao wanamadeni wahakikishe wanalipwa kabla ya mwaka 2018, vinginevyo watachukuliwa hatua za kisheria.

"Manispaa ili Panga kukusanya billion 19 kwaajili ya maendeleo nadhani kila mwananchi sasa a naona jinsi tunayo jenga barabara na kuleta Manispaa katika muonekano mpya, na kila kitu kina tegemea bajeti mwaka huu  hatuja fika lengo la makusanyo mpaka sasa tumekuwa ya Bilion 14 kwa hiyo tujitahidi kulipa kodi " Amesema Lyaniva. 

Akizungumzia  Elimu wilayani humo amewataka wazazi kuwa peleka shule watoto wao mwaka 2018 hasa vijana waliofaulu kuingia kidato cha kwanza vinginevyo watachukuliwa  hatua kali za kisheria.

Aidha amesisitiza wananchi kuendelea kufanya usafi wa mazingira  na amewashukuru waliofanikisha usafi katika eneo la mwembe yanga ambapo ilikuwa kero kwa wakazi wa eneo hilo, na amewaonya wale wote wanazembea kufanya usafi na wale ambao hufungabiasha zao kusubiria muda wa usafi kwisha huku hawakushiriki zoezi la usafi siku za Jumamosi ya mwisho wa mwezi.

Pamoja hayo amewashukuru wananchi wa Wilaya hiyo kwa kutoa ushirikiano kwa suala la Ulinzi na usalama kwa mwaka 2017.

"Nataka kila Mtendaji wa kila kata/mtaa aimarishe ulinzi shirikishi na wananchi na wananchi wote wa Temeke mjue kuwa jukumu la Ulinzi ni letu sote tushirikiane kuwa fichua uhalifu na wahari ajili haramu , na tuimarishe daftari la kudumu la wakazi." Amesema 

Aidha Lyaniva amewatakia heri ya mwaka mpya  wananchi wote wa Manispaa ya  hiyo na kuwataka kusherehekea sikuku kwa amani na utulivu bila kuchangia moto mataili wala kupiga fataki, na watakao enda beach (ufukweni) kuvaanguo za staha . 


Hivyo makala DC LYANIVA AHIMIZA ULIPAJI KODI, ULINZI NA USALAMA, AWATAKA WANANCHI KUSHEREHEKEA MWAKAMPYA KWA AMANI.

yaani makala yote DC LYANIVA AHIMIZA ULIPAJI KODI, ULINZI NA USALAMA, AWATAKA WANANCHI KUSHEREHEKEA MWAKAMPYA KWA AMANI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC LYANIVA AHIMIZA ULIPAJI KODI, ULINZI NA USALAMA, AWATAKA WANANCHI KUSHEREHEKEA MWAKAMPYA KWA AMANI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/dc-lyaniva-ahimiza-ulipaji-kodi-ulinzi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC LYANIVA AHIMIZA ULIPAJI KODI, ULINZI NA USALAMA, AWATAKA WANANCHI KUSHEREHEKEA MWAKAMPYA KWA AMANI."

Post a Comment

Loading...