Loading...
title : DIAMOND AMWAGA ZAWADI KWA MASHABIKI WAKE JIJINI DAR LEO
link : DIAMOND AMWAGA ZAWADI KWA MASHABIKI WAKE JIJINI DAR LEO
DIAMOND AMWAGA ZAWADI KWA MASHABIKI WAKE JIJINI DAR LEO
Msanii Nyota wa Bongofleva Afrika Mashariki na kwingineko Diamond Platnum akimkabidhi mmoja wa masahabiki wake baada ya kujishindia manukato (pafyume) ya CHIBU,mara baada ya kushiriki promosheni ya 'nogewa ushinde' inayoendelea kuchezeshwa kupitia bidhaa yake ya Karanga,ambayo pakiti yako moja huuzwa shilingi 300/= tu .
Msanii Nyota wa Bongofleva Afrika Mashariki na kwingineko Diamond Platnum akimkabidhi mmoja wa masahabiki wake baada ya kujishindia simu ya mkunoni aina Samsung J7,mara baada ya kushiriki promosheni ya 'nogewa ushinde' inayoendelea kuchezeshwa kupitia bidhaa yake ya Karanga,ambayo pakiti yako moja huuzwa shilingi 300/= tu .
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya aka Bongofleva hapa nchini Abdull Nassib almaarufu kwa jina la Diamond Plutnum akiwataja washindi mbalimbali waliojinyakulia zawadi kupitia promosheni ya karanga zake iitwayo 'Nogewa Ushinde',hafla hiyo imefanyika mapema leo jijini dar na kuhudhuriwa na mashabiki wake lukuki.
Msanii Nyota wa Bongofleva Afrika Mashariki na kwingineko Diamond Platnum akimkabidhi ufunguo mmoja wa masahabiki wake baada ya kujishindia piki piki mara baada ya kushiriki promosheni ya 'nogewa ushinde' inayoendelea kuchezeshwa kupitia bidhaa yake ya Karanga,ambayo pakiti yako moja huuzwa shilingi 300/= tu .
Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya aka Bongofleva Abdull Nassib almaarufu kwa jina la Diamond platnumz akizungumza na baadhi ya vyombo vya habari mapema leo jijini Dar,mara baada ya kugawa zawadi mbalimbali kwa washindi wa promosheni inayoendeshwa kupitia karanga zake (diamondkaranga) inayoitwa 'nogewa ushinde',Diamond Platnumz amemwaga zawadi hizo kede kede kwa washindi wa promosheni hiyo zaidi ya 30,zikiwemo piki piki,Manukato (pafyumu ya CHIBU),simu mbalimbali
Hivyo makala DIAMOND AMWAGA ZAWADI KWA MASHABIKI WAKE JIJINI DAR LEO
yaani makala yote DIAMOND AMWAGA ZAWADI KWA MASHABIKI WAKE JIJINI DAR LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DIAMOND AMWAGA ZAWADI KWA MASHABIKI WAKE JIJINI DAR LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/diamond-amwaga-zawadi-kwa-mashabiki.html
0 Response to "DIAMOND AMWAGA ZAWADI KWA MASHABIKI WAKE JIJINI DAR LEO"
Post a Comment