Loading...

Dk Mwakyembe ateta na Wadhibiti wa Maudhui ya Luninga

Loading...
Dk Mwakyembe ateta na Wadhibiti wa Maudhui ya Luninga - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Dk Mwakyembe ateta na Wadhibiti wa Maudhui ya Luninga, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Dk Mwakyembe ateta na Wadhibiti wa Maudhui ya Luninga
link : Dk Mwakyembe ateta na Wadhibiti wa Maudhui ya Luninga

soma pia


Dk Mwakyembe ateta na Wadhibiti wa Maudhui ya Luninga

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe ameagiza taasisi zote zinazohusika na udhibiti wa maudhui ya luninga nchini kubuni mkakati wa pamoja wa kuboresha udhibiti.

Dk Mwakyembe ametoa rai hiyo baada ya kuzikutanisha taasisi hizo za udhibiti leo jijini Dar Es Salaam.

"Nyinyi nyote ni taasisi za Serikali, hivyo tengenezeni mkakati wa kufanya kazi kwa pamoja kudhibiti maudhui mabovu ili kulinda  maadili ya jamii yetu," alisema.Waziri Mwakyembe alifanya mkutano wa pamoja na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Bodi ya Filamu Tanzania (TFB) na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA)."Kuna hitaji za kuongeza uwezo wa kufuatilia maudhui ya luninga ikiwa ni pamoja na filamu zote ili kubaini maudhui hasi kwa jamii yetu na kuzishughulikia ipasavyo kabla hazijaleta madhara kwa jamii," alisema.

Alisema changamoto za ongezeko la mahitaji ya jamii zinazidi kukua kwa haraka kutokana na kasi ya maendeleo hivyo ni vizuri kuhakikisha  kuwa majawabu yake yanapatikana.Naye Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi Susan Mlawi, alisema Wizara itaangalia jinsi ya kuunganisha majukumu ya taasisi zinazosimamia maudhui ya vyombo vya utangazaji nchini ili kuimarisha udhibiti wa pamoja. 

Akiongea katika mkutano wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dodoma mapema wiki hii, Rais John Pombe Magufuli aliiagiza Wizara ya Habari na TCRA kutosita kuvichukulia hatua vyombo vya utangazaji zinavyokiuka kanuni za utangazaji nchini.
 Dk Mwakyembe akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Maudhui ya TCRA,Bi.Valerie Msoka,
 Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi Suzan Mlawi, Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Eng James Kilaba na Mkurugenzi wa Utangazaji wa TCRA, Chief Fredrick Ntobi.



Hivyo makala Dk Mwakyembe ateta na Wadhibiti wa Maudhui ya Luninga

yaani makala yote Dk Mwakyembe ateta na Wadhibiti wa Maudhui ya Luninga Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Dk Mwakyembe ateta na Wadhibiti wa Maudhui ya Luninga mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/dk-mwakyembe-ateta-na-wadhibiti-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Dk Mwakyembe ateta na Wadhibiti wa Maudhui ya Luninga"

Post a Comment

Loading...