Loading...
title : DKT SHEIN AHUDHURIA MAZISHI YA MWENYEKITI WA TUME YA UTUMISHI SERIKALI ZANZIBAR OTHMAN BAKARI LEO
link : DKT SHEIN AHUDHURIA MAZISHI YA MWENYEKITI WA TUME YA UTUMISHI SERIKALI ZANZIBAR OTHMAN BAKARI LEO
DKT SHEIN AHUDHURIA MAZISHI YA MWENYEKITI WA TUME YA UTUMISHI SERIKALI ZANZIBAR OTHMAN BAKARI LEO
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na wakijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar katika Sala ya Kuuombea Mwili wa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi Serikali Zanzibar Marehemu Othman Bakari dua ikisomwa na Sheikh Fadhil Soraga katika Masjid Shurba kidingochekundu Zanzibar na kuzikwa katika makaburi ya Mwanakwerekwe .(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein akiweka mchanga katika kaburi la marehemu Othman Bakari, aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi Serikali Zanzibar, maziko hayo yamefanyika katika makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar.(Picha na Ikulu),
Hivyo makala DKT SHEIN AHUDHURIA MAZISHI YA MWENYEKITI WA TUME YA UTUMISHI SERIKALI ZANZIBAR OTHMAN BAKARI LEO
yaani makala yote DKT SHEIN AHUDHURIA MAZISHI YA MWENYEKITI WA TUME YA UTUMISHI SERIKALI ZANZIBAR OTHMAN BAKARI LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT SHEIN AHUDHURIA MAZISHI YA MWENYEKITI WA TUME YA UTUMISHI SERIKALI ZANZIBAR OTHMAN BAKARI LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/dkt-shein-ahudhuria-mazishi-ya.html
0 Response to "DKT SHEIN AHUDHURIA MAZISHI YA MWENYEKITI WA TUME YA UTUMISHI SERIKALI ZANZIBAR OTHMAN BAKARI LEO"
Post a Comment